Maduka ya Uchumi walipofunga TZ, mlishabikia sana humu, sasa na hawa wengine mnawacheka?

Haya maneno wengine tumeshazoea kusikia. Hata serikali za uko nyuma mambo haya yalijitokeza. Tafauti ni kwamba utawala wa sasa unataka kufaidika na sio kunyonywa na kupata faida ndogo.
Sasa wafanyabiashara hayo masuala ndio huwa hawapendi kusikia, kufata au kukubaliana nayo.
 
Kwa akili yako fupi. Serikali inakusanya pesa zote hizo halafu inashindwa kukidhi bajeti yake ya 29 trillions! Hata uongo wa juzi wa dikteta uchwara kuingia madarakani huku kilo ya sukari ikiwa 5,000 uliuamini. Kuukimbia umande ni ghali sana

Miaka miwili sasa pesa nyingi zinakusanywa na Serikali lakini wakati huo huo hawana uwezo wa kukidhi bajeti na kuongeza mishahara. Sikurupuki ninapoandika hapa.

By Elias Msuya @TheCitizenTZ emsuya@tz.nationmedia.com


Dar es Salaam. As the curtains close on yet another financial year, the harsh reality of unmet goals checks in amid revelations that only 34 per cent of funds were released in the fifth phase government’s 2016/17 development budget.

There was much hype, and a lot expectations when Parliament passed the Sh29.5 trillion budget last June.

Nearly half of it -- Sh11.8 trillion -- was earmarked for development projects. However, by February this year, the government had only released Sh3.97 trillion.

One of the major reasons for the slow pace, according to the government, is that development partners are not releasing funds as earlier expected.

While the government is still smarting from this major financial setback, it announced a Sh31.6 trillion budget framework for the 2017/18 financial year.

Even so, among the public and analysts, the lingering question is whether or not the new estimates are realistic in the prevailing environment.

There is the question of the role that Parliament will play to ensure that the budget that they pass is executed according to plan.

Tanzania has continuously been ranked low in the Open Budget Survey -- an initiative of the International Budget Partnership.

In 2015, Tanzania scored 46 per cent, while in 2006, 2008 and 2010 it scored 48, 35 and 45 per cent, respectively.

The OBS is a comprehensive analysis and survey that evaluates whether central governments give the public access to budget information and opportunities to participate in the budget process across 85 countries.

It also examines the ability of legislatures to hold their governments accountable. As per the 2010 Open Budget Index, the Tanzanian parliament’s budgetary oversight was rated weak because among the reasons cited, the National Assembly does not have full powers to change the governmnet’s budget proposals.

Another reason for the opoor ranking is that the Parliament does not have sufficient time to discuss and approve the executive’s budget proposal, citing receipt of the budget in less than six weeks before the start of the financial year; and Parliament does not hold open discussions during which the public can participate.

“In the spirit of good governance, there is a need for government to improve parliamentary oversight of the budget process and have it more involved throughout the budget cycle. Improving parliamentary involvement in the budget process augments the legislature’s oversight by creating an incentive to exercise power vis-a-vis the executive while enhancing its technical capacity,” suggests the report.

In citing examples of other African countries that have made some reforms in their budgetary processes, the report mentioned Nigeria, Ghana, South Africa, Kenya and Uganda, among others that have revived their respective Parliament’s oversight function of the budget process by the establishment of an independent entity within the legislature.

“The parliament is an entity that examines the draft annual budget proposed by the executive and provides analytical support to parliamentarians for alternative budget proposals. The entity in reference is known as a parliamentary budget office,” says the report.

Mr David Silinde, the deputy shadow finance minister and Chadema MP (Momba), mainly blames “party caucuses” for the National Assembly’s failure to oversee the government when it comes to budget implementation.

“According to the Constitution of the United Republic and the parliamentary standing orders, we have the mandate to oversee the implementation of the national budget, but the party caucus hinders us to do so,” he said.

“You cannot imagine that until now, instead of implementing 100 per cent of the budget by the end of this June, the government has just covered 26 per cent.”

The MP is pessimistic that with only three months left to the end of June, the government would have implemented the remaining 74 per cent to fulfill its budgetary obligation.

“It is impossible to fill a gap of 74 per cent in the time that remains. This is the ninth month of the year. The problem is that CCM members, who are the majority in Parliament, can’t take the government to task because they feel that if they do so, they shoot themselves in the foot,” said Mr Silinde.

The opposition lawmaker warned that as long as the government send mixed signals on its commitment to respecting the rule of law, freedom of expression, among other pillars of democracy, development partners will not be under any pressure to support the system.

 
Huna akili siwezi kuendelea kukuelimisha, kama waalimu wako walishindwa mimi sina uwezo huo, lakini hadi sasa $3.1B pesa ya kujenga reli imetoka serikalini, hakuna nchi yoyote ya kiafrika iliyoweza kujenga reli kwa kutoa pesa yake yapo $1B, endelea na ujinga wako uliorithi toka tumboni mwa mama yako
 
Kuthibitisha kama wewe ni ZWAZWA ushahidi huu hapa. Eti pesa ya kujenga reli imetoka Serikalini! Wacha uongo wewe mpumbavu.

Tanzania seeks Turkish loan for railway, Erdogan raises cleric's network

 
Tangu lini taahira akamjua mwenye akili. Nimekuthibishia ujinga wako uliokithiri eti Serikali itatoa $1 billion! Kwa makusanyo yepi ikiwa bajeti tu inawashinda. Unajua $1 Billion kwenye T shs ni kiasi gani wewe ju.ha!!!

Huna akili siwezi kupoteza muda wangu na wewe
 
Tangu lini taahira akamjua mwenye akili. Nimekuthibishia ujinga wako uliokithiri eti Serikali itatoa $1 billion! Kwa makusanyo yepi ikiwa bajeti tu inawashinda. Unajua $1 Billion kwenye T shs ni kiasi gani wewe ju.ha!!!

Hehehe duh.... haya achia bana.
 

Wacha kupoteza nguvu nyingi na muda kwenye report ya Moody kuhusu nchi ya watu, nenda ukapangue hoja za Zitto Kabwe kuhusu nchi yako, ona hapa alivyodadavua taarifa yote.

https://www.facebook.com/Uchumi wa Nchi Unazidi Kudidimia, Thamani ya Shilingi Yashuka, Mfumuko wa Bei Wapanda.

Jana Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ilitoa taarifa yake juu ya hali ya uchumi wa nchi yetu, taarifa iliyolewa inaonyesha hali si nzuri, uchumi wa nchi yetu unaonyesha kusinyaa na kudidimia, mfumuko wa bei unaonyesha kupanda na thamani ya shilingi kudidimia.

Taarifa hiyo inaonyesha namna hali ya uchumi wetu inavyozidi kuwa mbaya zaidi kwa wananchi wa hali ya chini , kwa mfumuko wa bei umepanda mno tangu kuanza kwa utekelezaji wa bajeti ya 2017/18, ongezeko ambalo limechangiwa zaidi na kupanda kwa bei ya bidhaa za chakula (bidhaa ambazo wananchi wengi zaidi wanazitumia).

Baadhi ya bidhaa za vyakula zilizochangia ongezeko hilo ni dagaa asilimia 7.6, matunda makavu kama nazi kwa (3.1), viazi vitamu kwa (3.0), mchele (1.5) na ndizi (1.5). Bidhaa nyingine zilizochangia ni mkaa kwa asilimia 4.0, dizeli (2.4) na petroli (0.6). Ukizitazama bidhaa zote hizi ni zile ambazo zinatumiwa zaidi na wananchi wa kawaida kabisa. Hivyo gharama za maisha kwa wananchi wa kawaida zimepanda mno, ufukara kutopea na familia zitakazoweza kupata angalao milo miwili kwa siku kupungua zaidi.

Taarifa imeonyesha thamani ya sarafu ya Tanzania imeshuka, uwezo wa Tsh. 100 kununua bidhaa umeshuka hadi Tsh. 92.18. Maana yake ni kuwa mwaka 2016 shilingi 100,000 ilikupa bidhaa za shilingi 100,000. Mwaka huu 2017 shilingi 100,000 inakupa bidhaa za shilingi 92,000. Kwa hiyo ili upate bidhaa za shilingi laki moja inakubidi uongeze shilingi elfu 8 zaidi. Kiuchumi, ili kulinda hali za wananchi, mishahara ilipaswa kupanda kwa asilimia 8 ili kuwapunguzia maumivu ya gharama za maisha.

Lakini hali hiyo inatokea katika wakati ambao mishahara haijapanda, na Rais wa nchi yetu kasema Serikali anayoingoza haitapandisha kabisa mishahara. Hali ni mbaya mno mtaani, mijini uzalishaji wa bidhaa za viwanda umeshuka kwa zaidi ya nusu, kutoka trilioni 1.5 mpaka bilioni 700 tu.

Siku za karibuni tumeshuhudia makampuni yakipunguza wafanyakazi na mengine kufungwa. Pia Serikali yenyewe ilipunguza watumishi iliyowaita hewa na wenye vyeti feki. Hivyo hivi sasa kuna Watanzania wengi mtaani ambao hawana shughuli zinazowaingizia kipato, tayari Wawekezaji wakubwa nchini wameshaitaka Serikali kutazama upya utendaji wake ili kuweka mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji ambao unashuka mno.

Vijijini tunashuhudia ushukaji wa sekta ya Kilimo kuliko wakati wowote ule tangu baada ya Uhuru. Wakulima wa Korosho hawajapewa pembejeo, hivyo uzalishaji wa zao linalotuingia mapato ya Kigeni zaidi nchini utashuka msimu huu wa mavuno, Tumbaku (zao la pili Kwa kuingiza Fedha za kigeni) tayari wakulima wanalia, mazao ya choroko na kunde bei imeshuka kwa zaidi ya 500%, Pamba uzalishaji umeshuka Kwa 63% kati ya mwaka 2015 na 2017 (miaka miwili ya awamu ya tano), Karafuu nayo mauzo yameshuka zaidi, na mauzo Nje ya dhahabu kuanza kushuka na hivyo kupelekea shilingi kushuka thamani na hivyo mfumuko wa bei kupanda Kwa kasi.

Nini Kifanyike?

1. Serikali itazame namna inatekeleza mipango yake ya Maendeleo. Uwekezaji kwenye miradi mikubwa ni jambo jema sana nchini kwani miradi mikubwa huingiza fedha kwenye mzunguko na hivyo kuchochea uchumi. Hata hivyo maarifa yanatakiwa kwenye miradi hii. Hapa nchini kwetu miradi mikubwa inaondoa Fedha kwenye uchumi na kupeleka Nje ya Nchi, tena Kwa Fedha za kigeni. Mfano Reli na Ndege ni miradi inayoondoa Fedha Nchini kwa dola na sio kwa madafu. Badala ya miradi hii kuwa ahueni inakuwa hasara kwa Nchi yetu.

2. Serikali isikilize na kufanyia kazi mawazo ya sekta binafsi katika kuweka sawa mazingira ya Uwekezaji bila kupoka haki ya Nchi kufaidika na rasilimali zake. Kwa mfano hoja aliyotoa Ndugu Dangote sio ya kupuuza kwani kwa kawaida Mitaji huona aibu (capital is shy). Serikali ijiondoe kwenye mentality kuwa Uwekezaji ni kupata kodi tu, la hasha. Kwa demografia ya Tanzania, ambapo watu milioni 1.6 huingia kwenye soko la ajira kwa mwaka, Ajira yapaswa kuwa lengo kubwa la Serikali katika kuvutia mitaji kutoka nje na vile vile ndani.

3. 3 Serikali ifanyie kazi haswa uchumi wa vijijini kwa kurekebisha mapungufu yote yanayoshusha uzalishaji kwenye sekta ya kilimo, kuanzia pembejeo, masoko na viwanda vidogo vya kuongeza thamani ya mazao (agro processing industries).

Kwa Watanzania,

Kama Kiongozi wa watu hali hii ya kudidimia kwa uchumi wetu inaniumiza sana, nayaelewa maumivu mnayoyapata wananchi, wajibu wangu ni kupaza sauti ili Serikali ichukue hatua kupunguza makali haya ya hali mbaya ya uchumi. Mimi na chama ninachokiongoza, ACT Wazalendo, hatutaacha wajibu huo wa kuyasemea masuala yenu wananchi, hiyo ni ahadi yetu kwenu wananchi, tutaendelea kuwasemea.

Kabwe Z. Ruyagwa Zitto
Kiongozi wa Chama, ACT Wazalendo
Oktoba 10, 2017
Dar es salaam
https://www.facebook.com/
 
Hiyo habari yako ni kujaribu kupotosha ukweli hiyo kampuni ya Uchumi sio Kwamba ilishindwa kufanya kazi Tanzania bali hiyo kampuni ilifilisika Rasmi hata huko Kenya. Kampuni ya Nakumatt pia imetangaza rasmi kuwa mfilisi huko Kenya. Kufulisika kwa Makampuni haya isibebeshwe lawama serikali ya awamu ya tano.
 
Tija gani wakati nchi imeshakuwa kama zimbabwe!!!
 

Wewe jamaa utakuwa unakereka na maisha yako kwa kiasi kikubwa. Unajitahidi kutafuta data za ovyo ili kujiridhisha na kujifariji.

Tafuta kazi nyingine ya kufanya kuliko kujaza upuuzi humu.
 

Hamna uchambuzi hapo zaidi ya upunguani. Mfumuko wa bei na ushukaji thamani wa Shilingi katika kipindi cha JPM vimedhibitiwa kuliko wakati wowote. Zitto Kabwe amepoteana kwa kiasi kikubwa na sasa ameamua kuibuka na hoja hafifu. Juzi aliibuka na mapato kutoka chooni kwake akidai ndio makusanyo ya serikali.

Mfumuko wa bei wa 5.3% si mbaya kwa nchi zinazoendelea, nyie kumbuka kwenu kwa Septemba ni 7.06%.

Kenya faces economic uncertainty as political impasse drags on
 
wakifunga kariakoo ndio nitashtuka lakini hawa wawekezaji wezi wacha waende tu na vitunguu vyao vya Kichina
 
Tanzania Inflation Rate Forecast

Hiyo ndiyo hali ya infumuko wa bei ulivyo hapa Tanzania, August 2017 ulikuwa the lowest in East and central Africa, 5%, sasa wewe endelea kumsikiliza Zitto na kelele zake, hiyo ni ripoti toka kwa TBS, ila unaweza kupata taarifa zingine toka kwenye independent reliable sources, zito sio reliable source, huyu huyu Zitto alisema kwa sababu TRA hawakutangaza makusanyo kwa mwezi, yeye akasema ni kwa sabau makusanyo yameshuka hadi 600 billion kwa mwezi, jana TRA wametangaza na kusema makusanyo yameongezeka kupanda mwezi hadi mwezi na sasa ni 1.3trl kwa mwezi, Zitto amekua mpiga kalele bila data
 
Consumer Price Index (CPI)

Hii ndiyo report nzima toka TBS inayoonysha hali ya uchumi ilivyo Tanzania, ninauhakika kama ungetaka kujua ukweli ungeweza kuitafuta na kuipata tu, lakini umeamua kutumia maneno ya Zitto, siamini kuwa umeanza kuwa mtu wa kusikiliza maneno ya mitaani siku hizi

Kwa kifupi tu, uchumi wa Tanzani kwa sasa upo vizuri sana, indicators nyingi za kitaalamu zinaonyesha hivyo, hayo maneno ya zitto inawezekana aliyatoa kipindi kile cha ukame mkali, sasa hivi price index za vyakula vyote ni the lowest kwa mwaka huu, inflation, mwezi huu inategemewa kushuka zaidi hadi 4.8%. karibu Tanzania
 
Wewe MK254 nyoko sana! Huwezi fananisha Uchumi na Nakumatt na BIASHARA nyingine Hata Kenya Uchumi na Nakumatt wanafunga maduka!
Geza,saidia kkumbusha hawa vilaza kwamba hats Uganda ilifungwa.Article by nyangau na posted by nyangau,nothing new.
 
If so,kaolewe na Wakenya sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…