Rama ngwea New Member Joined Aug 9, 2020 Posts 2 Reaction score 1 Aug 10, 2020 #1 Ndugu zangu naitwa Rama naishi Temeke Dar es Salaam nilikua naomba kuuliza kwa yeyote ambae anaweza jua mahali ambapo madumu yenye rangi nyeupe na yenye ujazo wa litre 30 Yanaweza kupatikana sehem gani katika jiji la Dar es Salaam
Ndugu zangu naitwa Rama naishi Temeke Dar es Salaam nilikua naomba kuuliza kwa yeyote ambae anaweza jua mahali ambapo madumu yenye rangi nyeupe na yenye ujazo wa litre 30 Yanaweza kupatikana sehem gani katika jiji la Dar es Salaam