Maelekezo Dell PC

Maelekezo Dell PC

Kaluluma

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
468
Reaction score
619
Habari za leo wakuu,

Ninahitaji kujua ukubwa wa hard disk kwenye laptop ya dell. Mwenye ufahamu kuhusu hili tafadhali.

Natanguliza shukrani🙏🙏
 
Ukishawasha pc yako nenda kwenye kona ya chini apo,kuna neno limeandikwa start,bonyeza hyo start afu ikishafunguka kuna sehem ya ku-search apo ingiza neno ROM afu ruhusu itatafuta afu itakuletea boss
 
Ukishawasha pc yako nenda kwenye kona ya chini apo,kuna neno limeandikwa start,bonyeza hyo start afu ikishafunguka kuna sehem ya ku-search apo ingiza neno ROM afu ruhusu itatafuta afu itakuletea boss
Nashukuru mkuu
 
Back
Top Bottom