Blessed Keinerugaba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 4,754 Reaction score 4,746 Sep 11, 2012 #1 husika na kichwa hapo,nahitaj kupata simu Nokia ASHA,Samsung DUOS, NA SIMU NYINGINE YA LG YENYE LINE MBILI,KAMA UTAWEZA KUNITAJIA Gharama husika na mahali jijini Dar es salaam.isiwe ya promotion,nashukuru kwa muda wako na muongozo wako!
husika na kichwa hapo,nahitaj kupata simu Nokia ASHA,Samsung DUOS, NA SIMU NYINGINE YA LG YENYE LINE MBILI,KAMA UTAWEZA KUNITAJIA Gharama husika na mahali jijini Dar es salaam.isiwe ya promotion,nashukuru kwa muda wako na muongozo wako!