Maelekezo kwa wale waliochaguliwa kujiunga na udsm

Nyie hamjapiga cozy...mmekula shu-shu-shumbwela sana...

We nyie kanembwa .. Mtu anapewa hadi C 25 .. Porini hamkwenda . Pitshot mwanza mwisho .. Ila Msange ndo walioangushia kuliko wote.
 
Depo lilikuwa 821 KJ Bulombora...Makamanda wa vita tumejila sana aisee!
 
wewe nan kakwambia msange tumeangushia? Fatiki mlizopga ndo 2mepga na sis labda mmetuzid ng'ai ng'ai tu
 
Poti nyie ruvu ndo hamjajila kabisa...6 weeks mlikuwa munaupunyua saa 4,mnamwaga tee hadi saa12...fatik mlikua hamna ,5 za kumwaga...834kj mlituvuna mno
 
Bulombora nakubali mnakaribia level zetu za kujila... Da but si wale majeshi kunoga ndo waliipata pata
 
Poti nyie ruvu ndo hamjajila kabisa...6 weeks mlikuwa munaupunyua saa 4,mnamwaga tee hadi saa12...fatik mlikua hamna ,5 za kumwaga...834kj mlituvuna mno

Weeee... Hayo mavituzi walikuwa nayo Kina Michael Snow huko tabora kwao.. Ilipigwa mikesha hiyo, mpaka kuna mida jicho likabadilika yaan nikimwangalia mtu ka narembua ,, jicho lina open nusu tu .. Yaani details ulizonipa ni za Msange kabisaaa
 
wewe nan kakwambia msange tumeangushia? Fatiki mlizopga ndo 2mepga na sis labda mmetuzid ng'ai ng'ai tu
Nyie mmepiga bila mkesha, hizo fatiki ukizipiga na mkesha ni balaa.. nyie watoto mchele mchele Fatiki bila Mkeshaaa utafikiri home tuuu....
 
nilienda juma3, wakaniambia kwmba wataiweka kwenye mtandao, pia jana niliwapigia simu na wakaniambia bado, sasa sijui ni kivp. kwani uni zingine kama kairuki wamesha pata admission letter zao
 
Bado hazijatoka, ila nafikiri ukienda chuoni unaweza kuzipata..

nilienda juma3, wakaniambia kwmba wataiweka kwenye mtandao, pia jana niliwapigia simu na wakaniambia bado, sasa sijui ni kivp. kwani uni zingine kama kairuki wamesha pata admission letter zao
 
nilienda juma3, wakaniambia kwmba wataiweka kwenye mtandao, pia jana niliwapigia simu na wakaniambia bado, sasa sijui ni kivp. kwani uni zingine kama kairuki wamesha pata admission letter zao

Tusiburi tu mda wenyewe haugandi .. Siunajua Ud wanajipanga sana .. Kuandaa kitu best ..#Pamoja
 
Worry out mkuu,admission letters zipo tena kama hauna pupa vuta subira utazikuta chuoni zipo kibaooo
sawa zipo. lakini wamesha anza kuzitoa. kwani mtandao yetu ya bonga na ile ya ud ni bom. kwao wanasema watatuarifu kwenya website yao lakini.,,, ahhhh bado tu. !!!!!!!!!!1
 
Udsm inapokea wanafunzi wengi ukilinganisha na vyuo vingine ,maybe bado wanaandaa kitu chenye uhakika...tuvuteni subira, haraka ya nini wakati chuo ni chetu na wanafunzi ni sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…