Maelekezo: Mnaweza vipi kutoa (withdraw) pesa PayPal Tanzania?

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
PayPal kuna changamoto ya kupokea na ku-withdraw pesa nchini Tanzania. Kuna features huzioni kule PayPal kama ukifungulia account Tanzania, hivyo kufanya ugumu kwa mtu kulipwa pesa kutoka nje. Hii imekuwa ikigandamiza fursa mbalimbali za kimtandao kwa vijana ambao wameamua kutafuta fursa mtandaoni.

Nataka kujua kama kuna watu humu Jamiiforums wanatumia huduma ya PayPal, je wanafanya vipi hili kupokea na ku-withdraw pesa wakiwa Tanzania. Maana kuna kibunda changu mahali sasa nashindwa kukichomoa kwa sababu sioni features za ku-withdraw kwa kutumia PayPal in Tanzania, sasa naogopa kutransfer kuja PayPal account.
 
Ushauri:Waweza tumia skrill kutoa kwa airtel money ni papo kwa hapo.
 
PayPal kuna changamoto ya kupokea na ku-withdraw pesa nchini Tanzania. Kuna features huzioni kule PayPal kama ukifungulia account Tanzania, hivyo kufanya ugumu kwa mtu kulipwa pesa kutoka nje. Hii imekuwa ikigandamiza fursa mbalimbali za kimtandao kwa vijana ambao wameamua kutafuta fursa mtandaoni.

Nataka kujua kama kuna watu humu Jamiiforums wanatumia huduma ya PayPal, je wanafanya vipi hili kupokea na ku-withdraw pesa wakiwa Tanzania. Maana kuna kibunda changu mahali sasa nashindwa kukichomoa kwa sababu sioni features za ku-withdraw kwa kutumia PayPal in Tanzania, sasa naogopa kutransfer kuja PayPal account.
Kwanza paypal tz haipokei pesa.
Inabidi ufungue paypal ya kenya au nchi inayokubali lakini nashauri kenya. Inabidi uwe na line ya safaricom copy ya kitambulisho cha mwenye line so akaunti itakuwa na jina la mwenye line. Pesa ikifika waitoa via safaricom wajitumie kwa mtandao wa tz.
Njia nyingine fungua akaunti ya paypal ya marekani, then fungua payoneer unga akaunti ya payoneer kwenye paypal pesa itatoka paypal kuja payoneer unaweza itoa atm au kuituma kwenye bank yako.
 
Uzi ufungwe hapa.
 
PayPal kuna changamoto ya kupokea na ku-withdraw pesa nchini Tanzania. Kuna features huzioni kule PayPal kama ukifungulia account Tanzania, hivyo kufanya ugumu kwa mtu kulipwa pesa kutoka nje. Hii imekuwa ikigandamiza fursa mbalimbali za kimtandao kwa vijana ambao wameamua kutafuta fursa mtandaoni.

Nataka kujua kama kuna watu humu Jamiiforums wanatumia huduma ya PayPal, je wanafanya vipi hili kupokea na ku-withdraw pesa wakiwa Tanzania. Maana kuna kibunda changu mahali sasa nashindwa kukichomoa kwa sababu sioni features za ku-withdraw kwa kutumia PayPal in Tanzania, sasa naogopa kutransfer kuja PayPal account.
Tanzania tunapokea refund tu hatupokei pesa
 
Hebu njoo nikutengenezee PayPal ya Uk ambayo unaweza pokea pesa popote duniani
 
Kutoa pesa kutoka PayPal kwenda kwenye akaunti yako ya simu (M-Pesa, Airtel Money n.k.) hapa Tanzania kunaweza kuwa changamoto kwa sababu PayPal haina huduma ya moja kwa moja ya kutoa pesa katika nchi zote, ikiwemo Tanzania. Lakini, kuna njia mbadala ambazo unaweza kutumia:
Angalia video hii HAPA

Njia Mbadala za Kutoa Pesa kutoka PayPal Tanzania:

1. Kutumia Huduma za Watu Binafsi au Makampuni:
Mfano wa makampuni haya HAPA
Makala ya Huduma hizi:
Huduma hizi hutoa njia ya kubadilisha pesa kutoka PayPal kwenda kwenye akaunti yako ya simu kwa ada fulani.
Wao hupokea pesa zako za PayPal na kisha kukutumia sawa na fedha za kitanzania kwenye simu yako.
Tahadhari:
Hakikisha unachagua huduma inayoaminika na yenye uzoefu.
Soma kwa makini masharti na ada zao kabla ya kutumia huduma zao.
Kuna hatari ya kudanganywa, hivyo fanya utafiti wa kutosha kabla ya kuchagua huduma yoyote.

2. Kutumia Huduma za Kubadilisha Fedha:
Makala za Huduma hizi:
Baadhi ya makampuni ya kubadilisha fedha yanaweza kukusaidia kubadilisha fedha zako za PayPal kuwa fedha za kitanzania.
Utahitaji kwenda ofisini kwao na kutoa maelezo yako ya akaunti.
Tahadhari:
Hakikisha kampuni unayochagua ni halali na imeidhinishwa na serikali.
Ada za kubadilisha fedha zinaweza kuwa za juu.

3. Kutumia Marafiki au Familia:
Mfano huu HAPA

Makala za Njia hii:
Ukifahamu mtu anayeishi katika nchi ambayo PayPal inatumika kwa urahisi, unaweza kumtuma pesa zako, na kisha mtu huyo akakutumia pesa hizo kwa njia nyingine kama vile Western Union.
Tahadhari:
Hakikisha una mtu wa kuamini kabisa ili kuepuka kupoteza pesa zako.

Vidokezo vya Muhimu:
Bonyeza HAPA

Utafiti wa Kina: Kabla ya kutumia njia yoyote, fanya utafiti wa kina kuhusu huduma au mtu unayetaka kutumia. Soma maoni ya wateja wengine na uangalie viwango vyao vya ada.
Usalama: Jihadhari na watu wanaojifanya kuwa wanaweza kukusaidia kutoa pesa zako kutoka PayPal kwa ada ndogo sana.
Sheria na Kanuni: Hakikisha unazingatia sheria na kanuni za nchi zinazohusika katika mchakato huu.
Kujua zaidi angalia HAPA
Hizo links zako za HAPA miyeyusho kwelikweli
 
PayPal kuna changamoto ya kupokea na ku-withdraw pesa nchini Tanzania. Kuna features huzioni kule PayPal kama ukifungulia account Tanzania, hivyo kufanya ugumu kwa mtu kulipwa pesa kutoka nje. Hii imekuwa ikigandamiza fursa mbalimbali za kimtandao kwa vijana ambao wameamua kutafuta fursa mtandaoni.

Nataka kujua kama kuna watu humu Jamiiforums wanatumia huduma ya PayPal, je wanafanya vipi hili kupokea na ku-withdraw pesa wakiwa Tanzania. Maana kuna kibunda changu mahali sasa nashindwa kukichomoa kwa sababu sioni features za ku-withdraw kwa kutumia PayPal in Tanzania, sasa naogopa kutransfer kuja PayPal account.
Mkuu uliweza kuwithdraw
 
Back
Top Bottom