Ask me
Member
- Apr 28, 2015
- 27
- 14
Habari za muda wana JF,Mimi ni mjasiriamali mdogo sana wa kuku wa kienyeji..Ila kwa sasa nategemea kukua kibiashara na kuanza kufuga kuku wa mayai na hivyo ninahitaji kujenga mabanda ya kuku wa mayai(layers).Nina eneo kubwa kama heka mbili ila nahitaji kuanza kwa kufuga kuku 400.Na pindi nitakapokua kibiashara miaka ya mbele niataongeza ata kufikia kuku wengi iwezekanavyo. Msaada wenu nautegeme hasa
- Nahitaji ushauri wa mabanda ya kuku wa mayai yanakuwaje??na
- je naweza pata mfugaji humu ndani atakaenielezea mchanganuo mzima wa gharama,faida na vyakula??...Mimi biashara nataka kufanyia Arusha ndo nnapohamia.