So sad, money is the root of all evilsNikikumbuka mashuhuda wa mwili wamarehemu huwa nalia hadi leo mtoto alilala nafikiri walimpa dawa ya usingizi asubuhi akaamsha mama anamwambia anasikia njaa ampe chakula aende shule kwani gari inapita na yeye bado hajala mama haamki ikabidi aende kwa jirani. Inaumaaa uuuwiiiiii hapana jamani.
Hawa waliofanya hayo Mauwaji ya huyo boss ni kikosi Cha Siri sana ambacho kimo ndani ya Serekali yenyewe, ndiyo maana hawawezi kutoa ukweli wote kwa public, maana kuna mauwaji mengine yanafanyika kwa ajili ya public interests!!Kuna proffessional killers duniani.
Kuna bosi wa usalama wa taifa ya uingereza anaitwa Gareth Williams. Alikuwa kichwa sana na mpelelezi hatari sana.
Mwaka 2010 kuna Wahuni walienda kumuua nyumbani kwake na mpaka leo haijulikani ni nani na wala aliuliwa kwa kutumia nini? Kifo kilikuaje haieleweki
Maiti yake ilikutwa bafuni kwake ikiwa uchi imewekwa ndani ya begi na begi kufungwa kufuli kwa nje... bila Dna yeyote kuachwa sehemu yeyote.
Ghorofa alilokuwa anaishi lina cctv camera zilizimwa kwa muda then zikawashwa bila kujulikana ni mbinu gani ilitumia kuzizima hizo cctv .
Polisi wa uingereza pamoja na usalama wa taifa wao MI6 walijitahidi kuchunguza wakashindwa wali declare kwamba hii ni perfect murder . Toka 2010 mpaka leo ni unsolved case.
Huyo mwabamke hana asili ya Kilimanjarowanawake wa kaskazini,ukiwa na mbumba be very careful,anytime you gonna lost!!, Kuna jamaa angu R.I.P tulioa familia moja ,ndo hivyo tena!! Kilimanjaro wanawake wa kule,sijui ka laana gani kamewakalia aise!!! Msinione mbaguzi lkn ukweli mtupu!!
Hawa waliofanya hayo Mauwaji ya huyo boss ni kikosi Cha Siri sana ambacho kimo ndani ya Serekali yenyewe, ndiyo maana hawawezi kutoa ukweli wote kwa public, maana kuna mauwaji mengine yanafanyika kwa ajili ya public interests!!
Yah anaweza kuwa na miaka 9 au 10 kwasasaMtoto wa Anneth?
Alikua dalali wa kuuza shamba la marehemu hapo kisongo,mtasha alifika 1.2bn kulipa sasa hati wakawa hawana issue ya kuzifuata kwa anneth wanaanzia wapiHuyo Revo alikuwa analikaza hilo shangingi?
Jacky mengi,vicky kamata ni wakaskazini mbona wanataka kudhulumu mali ambazo sio za kwao
Nahisi kati ya miaka 9 au 10 kwasasaKumbe ni mkubwa...yale mauaji yamechukua mda eeh
Nilikutana na hyu mama 2017
Marioo walipita nae sema wote wakaingia mitini hatokwi kitu[emoji16]Huyo Revo alikuwa analikaza hilo shangingi?
Hao wa kaskaz visa ni vingiJacky mengi,vicky kamata ni wakaskazini mbona wanataka kudhulumu mali ambazo sio za kwao
Inawezekana kabisa na mpaka jamaa kweny wosia kuweka picha asilimia fulani wapewe wazazi na ndugu zake palikuwa na tatizo ye na na mkewe inaonekan
Marehemu alipata utajiri kwa mawe ya lemakoo na tanzaniteone,baba anamigodi miwili nae kachangia kumuinua...mana yeye ndio alikua anahudumia migodi ya baba yakeHakukuwa na tatizo, yule marehemu isingekuwa wazazi wake pengine asingelikuwa ni bilionea...
Wazazi wake walikuwa na mashimo Mbuguni
Kuna watu hawajawahi kukamatwa ... zodiac serial killer mtafute huyuKuna muuwaji very professional kumshinda Carlos the jackal? Mbona mwishowe alidakwa kama kondoo hapo Sudan?? Yuko wapi Sasa hivi??
Kama alipata hasira za kumuua wifi yake kwann ashindwe kumuua mume wake kwa misingi ya tamaa ya pesa.Bila shaka pia alimuua mumewe,
Sawa kwa vile alikuwa na tamaa kali ngoja dunia imfundishe
Imagine ukirudi home namna unamtazama mkeo kwa wasi wasi.Mpaka nimesisimka.. Haya wote wamezikosa na kugawana majengo ya serikali
Imategemea na mtu mwenyewe kama kabwela askari hawawezi hangaika. Ila kama ni mtu kutoka familia ya kishua ni lazima askari watatia nguvu kutafuta mtu mbaya ni nani?!Kweli?
Mbona tunaonaga taarifa za habari mwili umeokotwa labda mtoni, kwenye pagale. Na hakuna kinachofata after that.
Huyu hakuwa tu muuwaji ila alikuwa ni psychopath. Maana katika hali ya kawaida yeye motive ya kumuua huyo dada ilikuwa ni nini?!Una uhakika gani? Hujawah kuona watu wameuwawa na waliofanya mauaji hawajakamatwa?.....muuaji professional haachi footprint hata siku moja!
Wanatazama sana bongo movie. Smart people dont watch Bongo movieHawa nao walitekeleza hii issue kama wanaact bongo movie