Maelezo juu sheria ya ajira tanzania

Maelezo juu sheria ya ajira tanzania

enstein1

Member
Joined
Jul 14, 2009
Posts
68
Reaction score
29
Wanajamii

Naomba wajuzi wa sheria wanijuze juu sheria ya kazi ya Tanzania inavyosema juu ya mfanyakazi anaeumia kazini au kuugua muda mrefe pasi kufanya kazi! Compensation zake zikoje na ni wajibu wa nani mifuko ya hifadhi like NSSF au muajiri?

Nataka kusaini mkataba wa kazi lakini swala hili silielewi kidogo.

Many thanks
 
Back
Top Bottom