maelezo ya hii picha please

mi nimempenda cameraman huko nyuma.
bado naitafakari maelezo yake hii picha.
 
kikwete na wapiga kura wake wa chalinze wanakagua mafuriko...
 
Mheshimiwa kabeba nini mkononi? Anaonekana kama anapanda mbegu vile wakati mazingira hayajakaa kishamba shamba!
 
Kama sikosei ni wakati wa kampeni za 2005!
 
Picha kama hizi 2005 ndio zilituanya tu "judge a book by its cover"
 
Anawaambia "Hata mimi napenda sana kupekua ila hii position ndio inayonifanya nivae viatu full time ila nikiwa chobisi kama huku aa najiachia tu kwa raha zangu".
 
ni kweli lile ni fuluuuuuuu tambiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…