Maelezo ya kina kuhusu vyeo hivi vyatutorialassistant,assistant alecturer,na senior

kama jf nipakujifunza jifunze kwanza kupost hoja zak kweny jukwaa husik na ujenge hoja ya msini l c ivyo ww n mbabaishaj
 
mkurupujaj ni ww kupost thread mahali ambapo c pake ni ni ni kama sio ukurupukaj ,na pia omb msamah kwa mann yak ya kjli
 
Dogo kuna mtu kakujibu vizuri...jitahid ufike chuo kikuu kwan automatically utajua utofauti...cha msingi soma usishinde hapa JF bila kuwz critical thinker..otherwise this is due to your childish

Hivi ndugu yangu, kufika chuo kikuu si lazima mtu afaulu vizuri A level au equivalent? Sasa mshauri dogo kwanza ajitahidi kufaulu O level.
 
kama hamna cha kuchangia kuhusu ii thread kaeni kimyaa alaa
 
hivi huyu mpigamsuli kachemsha nini, si afadhali yake kuliko anayetaka ushauri wa nini cha kufanya iwapo mume au mke wake ana wapenzi wengi? mie yangu macho inawezekana mwenye thread anafahamika personally kwa wengine, ngoja nitulie
 
mrimi,ww tatizo lako hujui ki2 kam ungekuwa unajua ungejibu kilaza ww,mij2 mingine ina vidiploma alaf mnaleta uzemb wenu
 
HAMNA MWENYE MNAJIBU YA HILI SUALA NILILOWEKA ?by mpigamsuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…