johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yesu Kristo aliishi kwa miaka 33 umri ambao Mbowe kaishi ndani ya CHADEMA
Ni sawa Mbowe alikuwepo wakati Tuntemeke Sanga anaasisi CHADEMA lakini hakuwa miongoni mwa wale Mitume 6 wa CHADEMA
Kwanini Zitto Kabwe ni Kiongozi makini:
1. Aliletwa CHADEMA na Freeman Mbowe akitokea Udsm
2.Akawa Mwenyekiti wa Bavicha kama Mbowe na baadae Naibu Katibu Mkuu
3.Amekuwa Mbunge na mwenyekiti wa kamati nyeti ya PAC
4. Akatoka CHADEMA na kuasisi ACT Wazalendo akawa Kiongozi Mkuu
5. Amestaafu kwa mujibu wa Katiba yao na Sasa ni Mshauri wa Chama
Zitto Kabwe amepata mafanikio yote Ndani ya miaka 20 ya Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA lakini Freeman huu ni mwaka wa 34 bado anasotea mafanikio kwa sababu chama chake kina Mbunge mmoja tu sawa na CUF
Ndoto ya Mbowe ni kuunda Serikali ya Mseto na CCM kama ACT Wazalendo kule Zanzibar lakini Wassira alishasema Mbowe anajidanganya Bure
Jumaa Mubarak 😀