Maelezo ya waziri wa sheria na katiba khusu makatazo ktk muswada sikumuelewa

Maelezo ya waziri wa sheria na katiba khusu makatazo ktk muswada sikumuelewa

Sungurampole

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2007
Posts
984
Reaction score
205
Binafsi sikumuelewa waziri wa sheria na katiba leo asubuhi(tbc 1) alipokuwa kijibu swali "kwa nini muswada untoa maeneo amabyo wananchi hawatakiwi kujadili?''

katika majibu yake alisema kinachokatazwa ni 'kufisha' mfano hairuhusiwi wananchi kusema 'hatuutaki muungano' ila kujadili mnaweza kujadili kwa maana ya kuboresha.

Hapa anasema nini? Nini maana ya mjadala?

Aliyemueleawa anisaidie mantiki ya hoja yake
 
Back
Top Bottom