Tupe kidogo kuhusu hii baruaDunia nzima imeshajua ukweli na sasa kuanzia U.S.A to israel watu ni maandamano hasa huko US army veterans na special force wengine wanarudisha medal of honor na kuomba msamaha kwa yale waliyoyatenda huko nyuma kwenye nchi za kiislam.
Haijakaa sawa barua ya osama bin laden kwenda u.s.a imeibuka upya watu wanaisoma na criticism zoote zinaelekea U.S.A Alhamdulillah udhalmu wa usa unaonekana sasa.
Yale maandamano kule Iran kupinga uongozi wa kidini wa akina Ayatollah yaliishia wapi?Photos: Israelis protests against Netanyahu in front of his residence
Israelis have staged a demonstration in front of the West Jerusalem residence of Israeli PM Netanyahu, chanting slogans and carrying banners against him.
“Netanyahu is the biggest disaster to the state of Israel,” read one banner carried in the protest late on Saturday.
Another one read “Bibi is dangerous, resign now”.
Protesters, also carrying Israeli flags, were prevented from getting closer to the residence by the Israeli police.
View attachment 2825419
View attachment 2825421
Jamaa mpumbavu Sana yule,sijui kwa nini Hitler hakuwafikia wazazi wakeNetanyahu anaamini katika matumizi makubwa ya nguvu kuliko akili. Na katika hili hana namna. Lazima wapenda amani wa nchi yake wamchukie.
una akili sana mkuu.wakikuonyesha hayo maelfu ya waandamanaj nitagAlieona maelfu ya waandamanaji kwenye hizo picha anisaidie tafadhali
Muisrael wa makete nakuona upo bado unatetea ushetaniHiyo Kawaida sana kwa nchi yeyote yenye demokrasia .
Bango la chini linapendeza sana.Photos: Israelis protests against Netanyahu in front of his residence
Israelis have staged a demonstration in front of the West Jerusalem residence of Israeli PM Netanyahu, chanting slogans and carrying banners against him.
“Netanyahu is the biggest disaster to the state of Israel,” read one banner carried in the protest late on Saturday.
Another one read “Bibi is dangerous, resign now”.
Protesters, also carrying Israeli flags, were prevented from getting closer to the residence by the Israeli police.
View attachment 2825419
View attachment 2825421
Myahudi wa pugu hata akisikua Myahudi wa Israeli kabaka atasema anafanya maombi makali.Hiyo Kawaida sana kwa nchi yeyote yenye demokrasia .
Dunia itakuwa inajidanganya sana kuamini kwamba Hamas na Wapalest8na wanataka amani.Lengo lao ni moja tu,Israel ifutwe kwenye uso wa dunia basi.Kuna wakati israel na Palestina zilikubaliana Israel aachie ardhi aliyoikalia wakati wa Ariel Sharon chini ya mkataba uliosimamiwa na Marekani unaojulikana kama road map.
Israel alianza kuwithdraw.Kilichofuatia baada ya hapo,Israel alitegemea amani ila aliishiwa kuoga mvua ya maroketi.Kuanzia hapo hamuamini mpalestina tena.
Ila ukweli ni kwamba kwa msimamo wa kipalestina,Israel should be wiped out of the face of the earth.Huo ndo ukweli ambao hauzungumzwi.Unapigwa pigwa chenga na kufunikwa.
Watasema wayahudi wanaakili sanaMyahudi wa pugu hata akisikua Myahudi wa Israeli kabaka atasema anafanya maombi makali.