Maelfu ya Waisrael waandamana kushinikiza Netanyahu ajiuzulu

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Maelfu ya Waisraeli wamekusanyika nje ya bunge jijini Jerusalem wakishinikiza Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu ajiuzulu.

Aidha, waandamanaji wanataka kuitishwa uchaguzi mpya mapema, na Serikali ifikie makubaliano ya kuachiwa kwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas tangu kuanza kwa mapigano Oktoba 7, 2023.

20240401_141708.jpg
 
View attachment 2950754

MK254 mwisraeli tokea pande za Buza atapinga
 
Back
Top Bottom