Maelfu ya wakenya wanafurika kuscan eyeball ya worldcoin

Maelfu ya wakenya wanafurika kuscan eyeball ya worldcoin

sportstore

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2023
Posts
497
Reaction score
1,769
Wakuu hii kitu ndio nini na why hawa jamaa wawalipe watu pesa kuja kuscan, cha kushangaza hata wengi hawajui ni kitu gani ? Imebidi serikali isitishe maana msongamano ni mkubwa sana

Mwenye info na hii kitu atililike maana haikiwii kuingia Bongo.. Je ina madhara au impact gani au kuna kikundi cha watu kinatapeli?

ATTACH=full]
20230801_142842.jpg
 
Kwan hujui kama wakenya ni masikini sana wako tayari kufanya chochote ili wapate pesa
 
Pesa mwanaharamu, ila sisi tunaoeiendekeza pesa ni wazaaharamu.
Haiwezekani hujui chochote ila unakwenda, kisa tu umesikia kuna hela.

Sio zote ni fursa, nyingine ni fursana.🤣
 
Hawa wajinga wanapewa takribani TZS 150,000/= kufanya huu ujinga,ngoja niandae uzi kuelezea madhara yake, ila tambueni hakuna free lunch, dunia ya sasa hakuna anayeweza kukupa pesa bure bure tu
 
"Siku za mwisho watu watapenda sana pesa"
 
Kwani motivator wanaokuja kutupiga daily si wanatoka kenya
 
Hawa wajinga wanapewa takribani TZS 150,000/= kufanya huu ujinga,ngoja niandae uzi kuelezea madhara yake, ila tambueni hakuna free lunch, dunia ya sasa hakuna anayeweza kukupa pesa bure bure tu
Twakusubiri
 
Back
Top Bottom