sportstore
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 497
- 1,769
TwakusubiriHawa wajinga wanapewa takribani TZS 150,000/= kufanya huu ujinga,ngoja niandae uzi kuelezea madhara yake, ila tambueni hakuna free lunch, dunia ya sasa hakuna anayeweza kukupa pesa bure bure tu