Katika hali isiyo ya kawaida maelfu ya watu wa mbeya wamejaa nje ya ukuta unao zunguka chuo cha uhasibu ambamo ndimo matokeo ya Jimbo la mbeya yana hesabiwa
Katika hali isiyo yakawaida watu hao wame fyatuliwa mabomu ya machozi lakini wananchi hao wanatembea na chupa za maji kwaajili yakunawa endapo lolote litajitokeza nawatu hawa tawanyiki walanini