Edgar Kyando 34
New Member
- Jun 3, 2024
- 4
- 1
Tanzania ni taifa linalo patikana mashariki mwa bara la Afrika liki tumia Lugha ya kiswahili katika mawasiliano baina ya mtu mmoja na mtu mwingine , Taifa hili lime tawaliwa na viongozi tofauti kwa miongo tofauti lakini kwa Sasa Lina tawaliwa na Mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassani ,ambaye ni Raisi wa Kwanza mwanamke katika Taifa hilo lililo ambatana na amani upendo . Taifa hili lime fanikiwa katika nyanja tofauti lakini Kuna baadhi ya vitu vikiweza kuzingatiwa vinaweza changia maendeleo ya Taifa la Tanzania na kufanikisha kufikia uchumi wakati .kama ifuatavyo .
Kutokomeza Mila potofu (Mauaji ya Zeruzeru) Baadhi ya jamii zimekua na muendelezo mkubwa wa mauaji wa jamii ya watu wenye Albinism (Zeruzeru) , serikali inatakiwa kuwa na kampeni ya kupinga mauaji katika maeneo ya vijijini ambayo yamekua na wimbi kubwa la mauaji ya watu jamii ya u albino pia kuundwa sheria madhubuti kupambana na wahusika wa mauaji ya Albino ikiwemo hukumu ya Kifo, kuanzishwa na kuwezeshwa kwa Mashirika yasiyo ya kiserikali kutetea haki za watu wenye Albinism. kutokomeza ukeketaji Kwa Wana wake kwa kuendeleza kampeni madhubuti kupambana na ukeketaji.
Mabadiliko katika mfumo wa Elimu ikiwemo (Elimu Bure hadi chuo kikuu ) Serikali ine na mkakati wa kuwezesha wanafunzi kutoa Elimu Bure Hadi chuo kikuu isiwe tu sekondari ,kwani bado wanafunzi wanashindwa kuendelea na masomo Kwa kukosa ada na kupewa kiasi kidogo cha mkopo wa Elimu ya juu , pia mfumo wa Elimu wa Tanzania ni wa nadharia zaidi kuliko vitendo , Hivyo kile kinacho fundishwa darasani kuto kua na tija kwa wanafunzi hivyo basi inapelekea wimbi kubwa la vijana ambao hukosa ajira , kisha kupelekea vijana kujihusisha na biashara haramu kama madawa ya kulevya kwa Lego la kupata fedha ili kuji kimu na maisha .
Uhuru wa Vyombo vya Habari , Kuna wakati vyombo vya habari havi kurusiwa kutoa taarifa kuhusu vyama pinzani mfano channeling ya Tbc Taifa Huwa hai toi taarifa za vyama pinzani ,ni chombo ambacho kina toa taarifa za chama Tawala wakati ni Chombo cha habari cha Taifa na sio chama Tawala , hivyo ina dhorotosha demokrasia ya Taifa kwa ujumla .
Kuruhusu Sekta Binafsi kuongoza baadhi ya Taasisi , Serikali ya Taifa la Tanzania itengeneze mfumo utakao ruhusu sekta Binafsi kufanya biashara katika baadhi ya Taasisi mfano Shilika la Ndege ( TCRA ), Shirika la Reli ( TAZARA ) , Shirika la mabasi ya mwendokasi (DAT) , shirika la mawasiliano (TTCL)kwani kwa miaka kadhaa mashirika hayo yame kua ya ki ingiza hasara kubwa kutokana na ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali. Ni vyema zaidi sekta binafsi kufanya biashara kisha serikali kukusanya mapato hivyo itapelekea kuongezeka kwa ufanisi katika kazi na utolewaji wa Huduma zilizo Bora na kufanikisha nchi kufikia uchumi wakati wajuu zaidi.
Mapinduzi katika viwanda , serikali inatakiwa kutengeneza mazingira rafiki kusaidia viwanda vya ndani kuweza kukua ikiwemo kupunguza tozo kwa viwanda vya ndani , kwa kutoa mchango mkubwa kuvi wezesha viwanda vya ndani ya nchi kwani ita saidia watu wengi kuajiriwa na kiwezesha nchi kuji endesha na ku acha kutegemea nchi za magharibi , pia kuanzisha viwanda ambavyo vinaweza kusaidia kuchata malighafi na kuzalisha bidhaa kuliko kutegemea viwanda nje ya nchi , mfano baadhi ya mazao ikiwemo mbaazi , korosho , Yana safirishwa kwa ukubwa hivyo masoko ya nje yaki anguka inakua ni hasara kwa wakulima na nchi kwa ujumla. Pia kuongeza ujenzi wa Viwanda vya bidhaa kama sukari ili kuweza kutimiza mahitaji ya wana nchi .
Mabadiliko ya Katiba , katiba ni Sheria mama ya nchi ambayo hutumika inatumika kuli ongoza Taifa la Tanzania , katiba inayo tumika ili undwa mwaka 1977 ,ina tumika mpaka mwaka huu wa 2024 hivyo baadhi ya Sheria zilizopo ndani ya katiba hiyo Zina hitajika kubadilishwa kwani hazina Tina chanya katika Taifa la letu , kama tunahitaji maendeleo yaliyo hasi tunahitajika kuwa na katiba itakayo iliyo boreshwa ,hivyo basi baadhi ya Wana harakati wali omba Katiba pendekezo ya jaji Warioba inge pitishwa ili iweze kuongoza Taifa letu ." Katiba ya mwaka 1977 ime pitwa na wakati kumuongoza mtu wa mwaka 2024 " .
Ufunguzi wa mipaka kati ya Tanzania na Mataifa ya ki Afrika , mipaka iliyo pakana na Tanzania ingefunguliwa ili kuwezesha muingiliano wa watu hivyo kuinua sekta ya biashara , utalii mfano mwaka 2023 /2024 kulikuwa na Tatizo katika uzalishaji wa sukari katika viwanda vya ndani , hivyo kupelekea kuongezeka kwa Bei ya sukari , lakini katika mataifa kama Zambia , Malawi Bei ya sukari ilikua ni rafiki zaidi ,Lakini watu wa Taifa la Tanzania wali zuiliwa kununua bidhaa katika mataifa hayo ikiwa nchini Kuna uhaba wa sukari , pia ufunguzi wa mipaka katika mataifa ya Afrika uta saidia kuimarisha uhusiano ulio Bora baina ya jamii za ki Afrika kwani sote ni sawa . " Muafrika awe na Uhuru wa kuingia Taifa lolote la Kiafrika bila kizuizi kwani Afrika ni moja tuu , pia tunaweza kama tuki ungana kwa pamoja "
Kupambana na Kukemea Tamaduni hasi za ki magharibi (USHOGA) , Ushoga ni mahusiano baina ya watu wenye Jinsia Moja ,mwana ume kwa mwana ume , mwana make kwa mwana make , Mataifa ya magharibi ( UNITED NATIONS ) yame kua yaki hamasisha ushoga kwa kiwango kikubwa katika mataifa ya ki Afrika ikiwemo Tanzania hivyo ina pelekea kupungua kwa nguvu kazi ya Taifa kwani wanaume watakia hawana nguvu katika kuijenga taifa la kesho .
Vijana wapewe nafasi katika Nyanja za maendeleo, ikiwa tunahitaji maendeleo chanya katika Taifa letu la Tanzania vijana wanatakiwa kuwa kipaumbele zaidi katika nyanja tofauti ikiwemo siasa , ajira kwani wao ndio Taifa la kesho .hivyo basi serikari ipunguze miaka ya kustaafu angalau iwe 50 ili vijana waweze kupata nafasi katika kuijenga Tanzania iliyo Bora.
Kutengeneza mazingira mazuri kwa Wasichana walio pata mimba kurudi shule , I siwe tu kumrudisha mtoto wa kike aliyepata mimba kurudi shule Bali ni kitengeneza mazingira yaliyo Bora kumsaidia mtoto wa kike aliyepata mimba kuweza kusoma Tena kwa kujenga shule ambazo zitakua kwa ajiri ya wanawake walio shindwa kuendelea na masomo sababu ya mimba .
Kupambana na Mizizi ya Rushwa na Uazishwaji wa chombo cha habari mahususi kupambana na Rushwa , Taifa la Tanzania limekua liki jaribu kupambana na Rushwa kwa miaka mingi lakini sio mzizi wa Rushwa , Mzizi Mkubwa wa Rushwa ni Umasikini na watu kukosa Uzalendo , hivyo Taifa linge Anza kupambana kujiondoa na umasikini na ku andaa vijana walio wazalendo kwa Taifa kwani kijana aliye mzalendo hawezi pokea rushwa , pia uwepo wa Chombo cha Habari ambacho kazi ake ni ku elimisha namna ya kupambana na Rushwa ,ita saidia serikari kulinda rasilimali zake na kuwa na Taifa lenye maendeleo.
Ujenzi wa Taasisi za michezo katika Kila mkoa kwa jinsia zote mbili , michezo imekua ni fursa kubwa sana katika miaka ya karibuni hivyo serikari itengeneze namna Bora ya kuinua sekta ya michezo kwa upande wa wanawake na wanaume kwa kuanzisha Taasisi nyingi kuvumbua vipaji kwa vijana wanao patikana katika maeneo tofauti. Hivyo ita saidia kufikia maendeleo chanya miaka ya mbele.
Matumizi ya Teknolojia katika kutoa huduma kwa jamii na Katika Uchaguzi wa Viongozi , Serikali ya Tanzania Inaweza kuanzisha tekinolojia katika kuendesha baadhi ya shughuli Mfano Kupiga kura kutumia mtandao , Kuacha kukusanya watu ili wapige kura , serikali itengeneze mfumo uta kao tumika kupiga kura katika Uchaguzi WA ma raisi ,Wabunge hivyo ita saidia kuokoa muda , na gharama ndogo kutumika katika kuendesha uchaguzi hivyo tuta weza kui ona Tanzania yenye uchumi Bora kwa kukubali kutumia Tekinolojia kuendesha shughuri zake.
Kuhamasisha Matumizi ya Nishati asilia kulinda mazingira ( Gas ), Gas ni nishati ambayo inapatina kwa winging katika mikoa ya kusini ambapo huweza kutumika katika kupikia , katika magari na mitambo , nishati ya gasi haina uchafuzi wa mazingira ukilinganisha na nishati kama mkaa , ambao hutokana na kukata na kuchoma misitu hivyo hupelekea kuharibu ikorojia ya wanyama na pia moshi kuharibu mazingira hivyo kuharibu tabaka la anga ( ozone layer ) , ili Tanzania iwe na maendeleo mazuri ni lazima kuwe na uhamasishwajinwa matumizi gesi asilia angalau kila mkoa .
Hitimisho , Kuna mambo mengi ya ku elezea ili kuweza kuijenga Tanzania yenye maendeleo kwa ajiri ya vizazi vya miaka ijayo ,kwa sasa tunge tekeleza hoja zilizo orodheshwa hapo juu ikiwemo , mapinduzi ya Viwanda , Mabadiliko ya Katiba , n.k.

Attachments
Upvote
5