silver25
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 743
- 44
Kila kitu Kina mwanzo na mwisho wake, kama Msosi unakula kisha unaisha, shibe huisha, watu hufa na duia huendelea mbele wala hairudi nyuma,,
nasema hivyo Kwa sababu zifuatazo...
Maendeleo yeyote hayaletwi na Raisi!!! NARUDIA TENA MAENDELEO YEYOTE HAYALETWI NA RAISI!!!
Mtu yeyote msomi na mwenye kujua what to do in order to develope anaweza akakubaliana na mimi,, Zamani tulikuwa tunasema hatuendelei kwasababu hatuna fursa za kujiendeleza. lakini sasa fursa zipo, lakini wau wapo palepale...,
naomba tukumbuke Raisi si Mungu!! narudia RAISI SI MUNGU,, Tutamchagua Slaa, na tutamlalamikia inawezekana kuliko hata huyu wa sasa,, Tutamchagua Lipumba na tutamlalamikia kuliko hata Slaa, na wengine woooteee
Mabadiliko ya kimageuzi yanaanzia kwa wananchi wenyewe, tunaweza kuwa na Raisi asiye na utendaji wa kutisha lakini kwakuwa Wananchi tunawajibika ipaswavyo utaona nchi inavyo endelea..
Pili tujikubali kuwa sisi ni wamasikini,, Kuwa na Lasilimali wakati hatujui umuhim wa Lasilimali hizi ni umasikini tosha na ndio maana Hata hawa munao waita mafisadi Wanapata fursa ya Kufisadi mali hizo..
tukiweza kukubali hilo uchama na uchaguzi hautakuwepo tena,, kilichopo sasa ni ujinga wa kila mtu kumuona mwenzakwe ni Mchawi, kumbe woootee ni wachawi lakini hawajijui.
Watu hawa walikuwepo woootee katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, wangekuwa na uchungu si wangesaidia Sehemu zenye shida kipindi wa wabunge? kuongea si kutenda, unaweza kuongea maneno kumi lakini utendaji ni Zero.. au inawezekana ni tabia yako ya kuongea ili watu wakusifie wewe ni muongeaji,,
mimi siwashauri mumchague mtu,, yeyote mchagueni lakini WAnajamii naomba muwe wajumbe kwamba CHANGES BEGINS TO THE TANZANIANS THEMSELVES, AND NOT MANAGEMENTS, TUJIFUNZE KUTAFUTA NJIA ZA KUJIKWAMUA NA TUSITEGEMEE RAISI ATAFUTE YEYE NI MMOJA HAWEZI KUWAFIKIA WATANZANIA WOTE
SOURCE: S. C MUMBA