Maendeleo ni watu sio mtu

Deghe Mangae

Senior Member
Joined
Mar 3, 2020
Posts
171
Reaction score
149
Huwa mm binafsi ubinafsi sipendi
Tabia ya kusifia viongozi fulani ati yy
Kaleta maendeleo huwa sipendi kamwe
Hawa wanaosifia bado wanakosa kujua
Maendeleo au utajiri si vya mtu mmoja
Kumbuka wananchi wote wamechangia
Tena kwa kiasi kikubwa mno watu
Wanalipa kodi zao pamoja na mchango
Wa mawazo ili maendeleo yapatikane
Hii yote ni umoja ulio tukuka kumbuka
Kiongozi huwa tunamchagua kwa ridhaa yetu ili asikilize mawazo yetu
Hatimaye tufikie malengo yetu kama ni kujipongeza tujipongeze wote sipendi hii point kabisa ya kuwapongeza viongozi bila kuzingatia vigezo, Hapa ni dereva na Abiria, Abiria tuna uwezo wa
Kumkemea Dereva apunguze speed ambayo inaweza kuleta madhara lengo
Tufike salama safari yetu na mwisho
Wa siku tupongezane Wote kwa sababu
Wote tumeshiriki ktk mafanikio
 
Utaambiwa unakwamisha juhudi, wakikuchukia sana watasema umetumwa na mabeberu. Na ili waonekane wanatunza demokrasia watakuita upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…