Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
Kama Kichwa cha habari kinavyosema,tangu aongoze Ali Kiba kwenye Tuzo za KTMA yepi Maendeleo take kimuziki na life lake kiujumla kama The Return of The King?
PEN-DOWN NOW.
PEN-DOWN NOW.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faida kubwa kuliko zote alizozipata ni kukipata kale ka kidoti, zaidi ya hapo hana mafanikio yoyote zaidi ya kupiga shoo za bure kwa akina wema na jide. Mafanikio ya mali hata Mose iyobo dancer wa DIAMOND yuko juu kuliko huyu.Kama Kichwa cha habari kinavyosema,tangu aongoze Ali Kiba kwenye Tuzo za KTMA yepi Maendeleo take kimuziki na life lake kiujumla kama The Return of The King?
PEN-DOWN NOW.
We jamaa bwana yani maisha ya instagram yanawadanganya sana et moseiyobo na kiba mbona jux yupo vizuri ay ila ushawahi ona sijui ka post gari au nyumba don't take it serious instagram lifeFaida kubwa kuliko zote alizozipata ni kukipata kale ka kidoti, zaidi ya hapo hana mafanikio yoyote zaidi ya kupiga shoo za bure kwa akina wema na jide. Mafanikio ya mali hata Mose iyobo dancer wa DIAMOND yuko juu kuliko huyu.
Naona nilipo upo, basi sawa mimi siandiki kitu nisichokijua na nilichokiandika sijakitoa instagram au labda nikuulize unajua mimi ni nani hadi udhani naitegemea ig kama chanzo changu cha habari ?????We jamaa bwana yani maisha ya instagram yanawadanganya sana et moseiyobo na kiba mbona jux yupo vizuri ay ila ushawahi ona sijui ka post gari au nyumba don't take it serious instagram life
Sikujui sitaki nikijue sitaki unijue ila nimekuuliza tu kujibu unazunguka mbuyu haha daa mngejua maisha halisi ya huyo jamaa wenu na shigongo sema maigizo ya instagram na magazeti yanawazuzu btw peace mkuuNaona nilipo upo, basi sawa mimi siandiki kitu nisichokijua na nilichokiandika sijakitoa instagram au labda nikuulize unajua mimi ni nani hadi udhani naitegemea ig kama chanzo changu cha habari ?????
Shigongo naye ana maisha magumu? Naona tangu cyber crime law ipite amepunguza udhalilishaji katika magazeti yake.Sikujui sitaki nikijue sitaki unijue ila nimekuuliza tu kujibu unazunguka mbuyu haha daa mngejua maisha halisi ya huyo jamaa wenu na shigongo sema maigizo ya instagram na magazeti yanawazuzu btw peace mkuu
Acha kujifanya unawajua watu wewe wakati huwajui....Sikujui sitaki nikijue sitaki unijue ila nimekuuliza tu kujibu unazunguka mbuyu haha daa mngejua maisha halisi ya huyo jamaa wenu na shigongo sema maigizo ya instagram na magazeti yanawazuzu btw peace mkuu
Kama Kichwa cha habari kinavyosema,tangu aongoze Ali Kiba kwenye Tuzo za KTMA yepi Maendeleo take kimuziki na life lake kiujumla kama The Return of The King?
PEN-DOWN NOW.