Maendeleo ya chini kisiasa

Joined
Aug 15, 2013
Posts
55
Reaction score
23
Wanajamii swali langu ni kwamba Tunapoiangalia Nchi ya China tunaona inaongozwa kwa msingi wa chama kimoja (MONOPARTISM)
Swali:
CHINA IMEENDELEA KISIASA?
IS CHINA DEVELOPED POLITICALLY?
 
Kuwa katika mfumo wa chama kimoja hakumaanishi ukosefu wa demokrasia. Demokrasia inaweza kuwepo palipo na mfum wa chama kimoja, argument inaweza kuwa ndefu sana kulingana na mitazamo lakini Chini kwa nafasi, kiwango na aina yao ya kufnay mambo -- imefanikiwa kisiasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…