Maendeleo ya katiba ndani ya miaka hamsini ya uhuru

Maendeleo ya katiba ndani ya miaka hamsini ya uhuru

mbasajohn

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2009
Posts
247
Reaction score
39
View attachment MAENDELEO YA KATIBA NDANI YA MIAKA 50 YA UHURU.docx

Utangulizi
Makala hii imeandaliwa kwa ajili ya kusherekea miaka hamsini ya uhuru yaliyofanyika katika Chuo cha Mtakatifu Augustino cha Tanzania kampasi ya Mwanza tarehe 25/11/2011. Makala hii imegawanyika katika sehemu kuu nne, ambapo sehemu ya kwanza inahusisha maana ya katiba na sifa za katiba bora ya nchi, sehemu ya pili imeongelea historia ya utungaji wa katiba Tanzania tokea uhuru, sehemu ya tatu imeongelea mafanikio na changamoto katika maendeleo ya kikatiba ndani ya miaka hamsini ya uhuru na sehemu ya nne nay a mwisho imeongelea mchakato kuelekea katiba mpya. Na mwisho kabisa ni hitimisho la mwandishi.
 
Back
Top Bottom