RahulDamas
New Member
- Jul 24, 2022
- 1
- 0
SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Imeandaliwa na Rahul
(CEO @RahulComputerService)
UTANGULIZI
Hii ni habari fupi ambayo itaeleza kuhusiana na SAYANSI NA TEKNOLOJIA ambapo tutaangazia mambo mbalimbali kuhusiana na maendeleo ya sayansi na Teknolojia pia tutaangazia pamoja na hasara na faida zake na nini cha kufanya ili hasara isijitokeze sana na kuleta faida badala ya hasara nyingi. Makala hii ni ni ya kufikiria haijawahi tumwa wala haijachukuliwa mahala popote, Ni habari iliyotungwa moja kwa moja na mwandishi hivyo basi Soma kwa makini Makala hii lazima utakuwa mmoja kati wa watakaokwenda kujifunza kitu kipya kupitia habari hii.
Tangu kuanza na kugundulika kwa Teknolojia mbalimbali dunia imeendelea kukua kwa kasi sana katika Nyanja mbalimbali hususani Kibiashara. Leo hii unaweza kununua chochote tena ukiwa chumbani au kazini kwako au mahali popote na mzigo ukakufikia mpaka mahali ulipo, hiyo yote ni jinsi gani sayansi imerahisisha biashara kupitia mawasiliano.
Pia kuna madhara makubwa ambayo yamekuja baada ya kukua kwa sayansi na Teknolojia kupitia Utandawazi wa mawasiliano kupitia vifaa mbali mbali ni kutokana na matumizi mabaya ya utandawazi katika jamii.
JE, UNAELEWA NINI KUHUSU NENO “SAYANSI NA TEKNOLOJIA”…?
Sayansi na Teknolojia hapa ni muunganiko wa maneno mawili ambayo yenye maana nyingi kulingana na mawazo ya mtu anavyoelewa Hivyo kila anaweza kuelezea kwa namna anavyofahamu.Tukianza na neon moja wapo hapa chini ni moja kati ya maana unaweza ukaeleza
SAYANSI; ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo,kutazama na kujaribu kweli ambazo zimebainishwa na hazijathibitishwa.
TEKNOLOJIA; ni elimu inayohusu uhandisi,ufundi,ujenzi,vifaa na mbinu za uzalishaji wa vifaa na huduma katika jamii.
FAIDA NA HASARA KUKUA KWA SAYANSI NA TEKNOLOJIA..
FAIDA ZAKE:
I. Kukua na kuboresha mawasiliano katika jamii na dunia kwa ujumla.Ndio ni kweli moja kati ya faida ambayo inaonyesha kua kwa sasa watu wengi swala la mawasiliano si jambo gumu sana au la kuliwazia kwa uzito mkubwa kwani sasa unaweza kuongea na mtu ata akiwa nje ya nchi na ata mkaonana kwa kupitia simu au kompyuta.
II. Kukua kwa uchumi wa taifa na mtu mmoja mmoja.Ni kweli kupitia sayansi na Teknolojia leo hii tunaweza kuona watu wakifanya shughuli zao katika kuboresha maisha yao ya kila siku ata kwa kupitia mitandao ya simu kama Whatsap,Facebook,Instagram,Youtube,Tiktok na sehemu zingine nyingi izo yote ni kwa upande wa mitandao lakini pia kuna baadhi wanatumia Website,Blog kwa ajili ya kukuza na kuboresha biashara zao ziweze kufikiwa na watu wengi Zaidi kutoka sehem mbali mbali.
III. Kukuza na kuboresha Elimu.hapa tunaona katika baadhi ya shule au vyuo namna wanavyojitahidi katika kuboresha Elimu kwa njia za kisasa Zaidi mfano kwa kupitia kompyuta au simu maalufu kama ”kishkwambi” na kufanya baadhi ya watu kusonga mbele Zaidi kielimu katika jamii mbali mbali,Leo hii si ajabu kuona motto wa darasa la 6 au 7 akiwa anasoma kwa kupitia kompyuta au kishkwambi ni kitu cha kawaida na ndio inafanya sasa Elimu kukua na kuboresheka Zaidi
HASARA ZAKE:
I. Kuporomoka kwa maadili,katika moja ya nguzo kuu katika taifa lolote duniani ni lazimakutakua na maadili waliyojiwekea kulingana na tamaduni zao wenyewe.kwa nchi nyingi za bara la Africa wanajali na kuthamini sana tamaduni zao ambazo ni kama urithi kutoka kwa vizazi vyao.Lakini kutokana na kukua kwa sayansi na teknolojia sasa inapelekea watu wengi kuacha mila na desturi zao na kuvaa za kutoka nje iyo ni kutokana na muingiliano wa watu wa mataifa ya kigeni kwa ajili ya biashara,michezo,elimu,afya na kupitia mitandao ya kijamii
II. Majanga yatakanayo na shughuli za binadamu na magonjwa,sayansi na teknolojia pia imekuja na majanga yake na majanga hayo ni kutokana na shughuli zinazofanywa na mwanadamu.Mfano utengenezaji wa silaha za nyuklia,sumu za maangamizi,magonjwa ya kuambukiza (Ebola,UKIMWI,corona n.k)Kuongezeka kwa joto kali (Global warming) kutokana na ukataji wa miti ovyo pamoja na shughuli za viwanda.
III. Uhalifu,hivi karibuni tumeshuhudia watu wakiiba na kuhamisha pesa bank tena Zaidi akiwa yupo mbali kabisa na bank husika,mara nyingi hutumia teknolojia waliyokua nazo na vifaa vya kisasa Zaidi kama kompyuta kufanya uhalifu wa kimtandao.
JE, UNAWEZAJE KUTUMIA SAYANSI NA TEKNOLOJIA KULETA TIJA/FAIDA…?
Ukiachana na yote hayo ukiwa kama mtu mwenye akili timamu unatakiwa kufikiria namna ya kufanya kugeuza na kutumia katika kuleta tija katika jamii inayokuzunguka na kufanya kukuletea kipato kwa ajili ya maendeleo yako binafsi na taifa kwa ujumla.
Kuna njia nyingi hasa katika mitandao mtu anaweza kutumia kwa ajili ya kuboresha au kukuza uchumi wake binafsi na taifa kwa ujumla,mfano kupitia Makala hii tutaeleza namna utakavyoweza kutumia WHATSAP BUSINESS kwa ajili ya kutumia kama sehemu ya kukupatia kipato.
WHATSAP BUSINESS NI NINI..?
Ni software/program ambayo inasaidia katika swala la mawasiliano au kupashana habari,burudani n.k pia imeleta mapinduzi na mwitikio mkubwa katika dunia kwa sasa,watu ambao wanabuni huu mfumo waliilenga jamii kwa mambo mengi ikiwemo kibiashara,Elimu,Uchumi n.K Sasa apo ni wewe na akili namna ya kuitumia kulingana na mawazo yako.
Hii software/program pia unaweza kutumia kama sehemu ya kutafutia pesa na kujiingizia kipato kwani imeboresha kwa kiasi kikubwa unaweza kuweka mfumo maalimu kwa ajili ya kutambulisha biashara na kupata wateja
MAMBO UNAYOWEZA KUFANYA KUJIPATIA PESA.
Unaweza kuanzisha biashara yako kisha kuna sehemu maalimu inaitwa CATALOG apo unaweza weka mpangilio wa biashara au bidhaa unazouza ambapo kila mtu ataweza kuona na kasha kuwasiliana na wewe kwa urahisi
Ukiachana na hiyo pia kuna uwezekano wa ku-edit maneno maalumu kama ya ukaribisho kwa mteja,Hii inafanya ata mteja kuona kua muhusika yupo siriasi na anajua anachokifanya.
Unaweza ukaiunganisha na software zingine mfano Instagram,Facebook ili kuweza kufanya matangazo Zaidi ya biashara zako pia ata kuweka website endapo kama unayo. Hivyo hii ni moja wapo ambapo tumeona tuongelee apa kwa kifupi ili kuweza kutoa wazo kwa mtu ambae anafanya biashara ana pengine ajawai na ajui kuhusiana na whatsap business
HITIMISHO
Mpaka kufika hapa kwa uchache nafikiri utakua umepata jambo Fulani ambalo unaweza kulitumia ili kukuletea tija binafsi na taifa kwa ujumla.
ANSANTE
Niliekuandalia Makala hii.
LAURIAN LAURENT DAMAS
(CEO @RahulComputerService)
WHATSAP:0784476008
EMAIL rauliandamas@gmail.com

Upvote
0