watu wamepatwa na mshituko kuona mnadhimu mkuu wa jeshi akitoa kauli za utata,hakuna jipya ni mwendelezo wa kutoa vitisho kwa wananchi ili kuhalalisha ushindi kwa ccm,upinzani kuweni macho na maeneo ya kambi za jeshi mlalakuwa,makongo,jitegemee,kwani lolote linaweza kutokea ndio maana mmemwona mnadhimu ametoa vitisho mapema ili kuhalalisha uharamia utakaofanyika,hakuna kulala hadi kieleweke