Maeneo gani dar naweza kupata wasambazaji wa hizi bablish za amazon

Maeneo gani dar naweza kupata wasambazaji wa hizi bablish za amazon

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
Habari zenu wadau kuna hizi bubble gum za kutafuna zinatoka zambia nimesoma maelezo yake nikapata detail kuwa wana distibutors Tanzania nimefanikiwa kuchukua namba nikajaribu kumtafuta lakini namba yao naambiwa imefungwa nahitaji nipate wasambazaji wa hizi product Tanzania kwa anaejua wanapatikana maeneo gani kwa Dar itanisaidia
FB_IMG_15816665677886621.jpg
 
Back
Top Bottom