Habari zenu wadau kuna hizi bubble gum za kutafuna zinatoka zambia nimesoma maelezo yake nikapata detail kuwa wana distibutors Tanzania nimefanikiwa kuchukua namba nikajaribu kumtafuta lakini namba yao naambiwa imefungwa nahitaji nipate wasambazaji wa hizi product Tanzania kwa anaejua wanapatikana maeneo gani kwa Dar itanisaidia