Maeneo gani mazuri kununua Viwanja Dar?

Mchinox

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2023
Posts
242
Reaction score
268
Maeneo gani mazuri yenye hewa safi kununua kiwanja Vilivyopimwa kwa ajili ya makazi kwa budget ya 20M??

Maeneo ya karibu na urahisi kufikika gongo la mboto..
 
Zaidi ni bajeti yako. Mbezi beach, chanika, mbande nk. Ni wewe tuu na mfuko wako. Jipime.
 
Maeneo gani mazuri yenye hewa safi kununua kiwanja Vilivyopimwa kwa ajili ya makazi kwa budget ya 20M??

Maeneo ya karibu na urahisi kufikika gongo la mboto..
Hapo Mombasa ulizia kwa diwani...then mtafute baba Moses
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…