Maeneo gani mazuri ya kupata chakula Iringa mjini?

Motowntzjpm

Senior Member
Joined
Jun 16, 2023
Posts
134
Reaction score
203
Wadau msaada tukutane wapi ambapo Wanaume 4 tunaweza kupata chakula Iringa mjini tukipita saa 7 Leo chakula ambacho sio cha kusubiri, fresh na matunda juisi , nyama , supu Samaki na kuku
 
Njoo Dodoma hapa kun mbuz choma saf kabisa
 
Nyuma ya stend kuu zamani au uliza kwa kaundama hapo,au mpigie cm mchungaji msigwa anakulaga hapo menu....
 
Back
Top Bottom