Shukran mzee nipo hapahapa dar, tatizo dar kubwa nikitajiwa mtaa ni rahis kwenda Sasa kucheck kiundani zaidi. Shukran mzee nitajitahid piaHuenda hii pia ni source of info...lakini ni vyema ungeenda ww mwenywe dar kupeleleza...!usipende kbs kupata habari kuhusu biashara kiwepesi namna hyo..hutapata right infos ..tumia hela upate hela!.kila laheri!
Ni hayo tu!
Shukran mzee nipo hapahapa dar, tatizo dar kubwa nikitajiwa mtaa ni rahis kwenda Sasa kucheck kiundani zaidi. Shukran mzee nitajitahid pia
Shukrani Sana mkuuMbezi goba msakuzi maramba mawili saranga mwisho goba tegeta A mbezi makabe kimara bonyokwa mwisho kilungule mwisho juu kwa mahita mpaka karibia ukatokezee kinyerezi