Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
kiongozi uko baa?Haujafikiria sawasawa.
HaisikitishiInasikitisha
Halafu yeye anajiona katoa Bonge la Uzi na point kumbe Nonsensical.....Akili za mtoa mada bhana π kwan hy treni inapita hilo eneo kwa muda gani? Kwamba treni inatumia saa 24 kupita hilo eneo?
Hii ndio point ya msingi sasa.Hata "Wifi" kama tulivyoahidiwa hamna kwenye mabehewa? π€
Hailipiii wala make business sense.....wazo mfu hilo unapita tu hukai kila kituo...gharama kuweka mnara zitajilipaje ? Rather ukubali boasterkila mtandao ndani train....labda !!!!Hii ni ajabu na kweli ukisafiri na treni ya SGR utakuta maeneo mengi inapopita hiyo treni hayana network nzuri ya simu.
Je makampuni ya simu hayaoni kama wanapoteza fursa ya kupiga pesa? Hawaoni pesa mingi inayopotea hapa au ndo wameshashiba na kuvimbewa hawataki pesa tena?
π€£π€£π€£ Ahadi Umesha sahau km Tz tupo Vizuri kwenye Ahadi na Maneno badala ya VitendoHata "Wifi" kama tulivyoahidiwa hamna kwenye mabehewa? π€
Ni kiasi cha TRC kuingia makubaliano na makampuni ya simu ili zifungwe wireless network kwenye station zote ili wateja wenye vifaa vya kielektroniki waunganishwe kwenye mtandao wawapo safarini.Hakuna uwezekano kukawa na "mobile tower" kwa maana ya kwamba hiyo tower ikawa installed kwenye treni ili wasafiri wawe na mtandao throughout the journey?