Maeneo mengi ya makutano ya barabara Dar es Salaam yamejaa askari wenye silaha; nini kinaendelea?

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
706
Reaction score
1,716
Leo asubuhi, nikiwa natokea Bunju, nimekuta askari wengi wakiwa wamejaa kwenye mataa ya Tegeta. Pia, kwenye Kona ya Masana walikuwepo kwa wingi wakiwa na silaha, na hata maeneo ya Mwenge wameongezeka zaidi.

Najiuliza, kuna nini kinaendelea? Au ni suala la ripoti ya Jaji Chande inayotarajiwa kusomwa leo?
 
Ajali za bodaboda zimekuwa nyingi hivyo wanajaribu kuzidhibiti.
 
Wanawasiwasi na ripoti yao ya kupika ambapo wanahofu inaweza kuhamsha hasira kwa raia wema
 
Back
Top Bottom