Na hicho kitambimashine yaani huwa nalegea balaa
DuuuuuuuNa hicho kitambi
Hahahaha avatar yako mkuu duuh!!!sigusiki maana mie ni google helper
Mmmh jamani sijaziona muda mrefu huzi makitu,nioneshe basi kiduchunyayo ya mguu
chuchu uwii
Shunie na ww unajua kuchana watu bhana sio mchezoacha dada nimekuja kushanga watu na maeneo yao wanayoshikwa
ahahahahaJicho lipi mkuu?
Jicho linunalo muda wote au?Mimi jicho yaani balaaa
Utakuwa fisi wewe.Aisee kwenye jino la mwisho hapaπ
Like me.Me kwapa baasi
Jicho linaloona au lile lisiloona.Jicho lipi mkuu?
Kazi za Mungu mkuu.usishangae.naona naona watu na sehemu zao sensitive
Subiri malaika aje.Yani mim mtu akinigusa tuu nafsi na roho nazimia kabisaaaaπππ