Maeneo sensitive ya mwili.

Thanks my king sijui hata nisemeje yani nahisi maneno mengi nishakwambia.


I do love you Smart911 my king
Bado nakupenda sana smart9 wangu
Usiende mbali nami Smart911
Bakinamimi baby.......
mahondaw wangu... Mazuri nayotaka maishani mwangu ndiyo nayokutakia na wewe love... Tunagombana tunapatana.. Tunasonga mbele... Hatukumbushii ya jana...


mahondaw wangu... Sitokuacha, kama ni ufukara au utajiri tutashirikiana pamoja... Atakayekuudhi wewe ameniudhi mimi... Sitojali yeye nani, nitamuangushia msala...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…