kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Si kuna yale maeneo wateja wengi kama mbagalaDar kwakweli kila sehemu ni biashara, kila kitu ni biashara..... Ni wewe tu na kuchagua unapotaka.
Biashara gani???Hivi wadau tukiachana na mbagala na kkoo kuna maeneo gani mengine yana vibe la biashara kama huko
Dah ha ha ha hizi biashara za uchuuzi kama nguo na viatu mzeeBiashara gani???
Kama ni pombe za kienyeji njoo pembezoni mwa jiji...mbopo madale n.k.
Huko kukodi eneo bei gani sio fremu lakiniVipi maeneo ya mwenge
Vikindu vp kakaChanika
Gongo la mbotoSi kuna yale maeneo wateja wengi kama mbagala