Maeneo ya biashara Mwanza

Maeneo ya biashara Mwanza

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Habari wakuu,

Nina plan ya kufungua duka lenye mchanganyiko wa bidhaa za umeme na ujenzi. (electrical and hardware)

Ila ndio naanza hii biashara , sipo established kivile, naanza kama mid sized shop, so mdogo mdogo tu.

Najua city centre sitapaweza kutokana na Competition ya hali ya juu na kodi za fremu kuwa kubwa.

So ni maeneo yapi pembezoni mwa city centre au nje ya mji, ambapo pame changaamka na patafaa duka langu la electrical na vifaa vya ujenzi.

Nitashukuru kwa michango yenu.
 
Buhongwa ni sehem nzuri.....Watu wanajenga sana maeneo ya Isebanda,Lwanhima,Sahwa, nyakagwe, Nyanembe majengo mapya, Ihila mpaka mwasonge wanvuka kufata vifaa Buhongwa hivo kupelekea uhtaji wa vifaa kua mkubwa
 
ahsante boss wangu...naona buhongwa inatajwa sanaa..na wewe pia umenihakikishia
 
Back
Top Bottom