Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
niliona kimya nikaamishia kwa biasharaUlianzisha nyuzi mbili?
ahsante..Buhongwa na igoma
ahsanteIgoma, buhongwa, Nyakato.
ahsante boss wangu...naona buhongwa inatajwa sanaa..na wewe pia umenihakikishiaBuhongwa ni sehem nzuri.....Watu wanajenga sana maeneo ya Isebanda,Lwanhima,Sahwa, nyakagwe, Nyanembe majengo mapya, Ihila mpaka mwasonge wanvuka kufata vifaa Buhongwa hivo kupelekea uhtaji wa vifaa kua mkubwa