Maeneo ya kishua Dar? Taja eneo lako kama sijataja

Tabutupu, Uko sahihi lakini sio kwa asilimia kubwa kwakuwa umeandika viwanja vyote,maana maeneo mengi kati ya haya uliyotaja/orodhesha ni kweli kuna baadhi vipimo na mpangilio upo.

Pia kuna ambako hakuna, worst is kuna ambako ni mixa ya hayo mawili yaani mita chache mpangilio mita chache kaput!!!!Few blocks after few blocks or feet unashangaa utofauti ndani ya eneo moja husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabutupu,
Kikawaida majina mara nyingi hukupa picha ya eneo kabla hujafika!

Ila nilicho-note ni kwamba sehemu zenye majina ya kizungu au linalovutia huwa za kishua by nature (Masaki, Mikocheni, Sea View, Oysterbay) ila jina likiwa la kiswahili ogopa sana! Pata picha jina kama Njiayang'ombe, Kwafundi Redio, Kwatumbo, Kigogo, daaah 😂😂
 
Haaaa.. looks true
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…