Tanganyika1
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 423
- 90
yameanzia kijichi ndio yakaja Mtongani , hapo vipi ?Fanyeni kila namna yasifike kijichi
Itakua tanoil baada ya kupokea ripoti ya cagWadau maeneo ya MTONI KIJICHI hadi MTONGANI Kuna harufu mbaya ya mafuta usiku huu (28/03/2024)
Maeneo haya ni karibu sana na Bandarini. Je Kuna Nini kinaendelea??
Mashaka ni kwamba labda bomba au tank la mafuta limepasuka.
Umebaini nini mkuuNaisikia sana mkuu yan sijajua nn tabu ila asubuh ntaenda baharin hope ntakuwa na majibu kamili
MKuu harufu ni kali sana hadi vyumbani ila bado sijashuka baharini. Soon nitashuka kuangalia na nitakuja na mrejeshoUmebaini nini mkuu
HuendaLabda wanasafisha mitambo ya meli...