Maeneo yanauzwa mto wa mbuu mkoa wa arusha na manyara.

Maeneo yanauzwa mto wa mbuu mkoa wa arusha na manyara.

Mtumishi Wetu

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
5,712
Reaction score
1,910
MAENEO YANAUZWA, UKIHITAJI TUWASILIANE.

1. MTO WA MBUU, KAMBI YA MKAA, KUTOKEA KIGONGONI, KARIBU NA OLUNOTO HOTEL.
Ukubwa ni ekari saba na zaidi. Linafaa kwa ujenzi wa Camp Site au Hotel ya kitalii!!
Camp for community tourism, linafaa sana!!
Bei tutaelewana!! Halina title, kuna process ya kupata title ya kijiji au kimila, hayo tutashirikiana
kuyafanikisha!!

2. MTO WA MBUU, COMWORKS, NJIA YA MAJENGO KARIBU NA TANK LA MAJI LA MCHINA.
Ukubwa eka moja na nusu 1.5 eka. Maji ya bomba yako kwenye eneo. Kuna nguzo ya umeme kwenye
eneo.
Bei tutaelewana, mhusika ni mimi mwenyewe.

3. BABATI MJINI, ENEO LIKO MIOMBONI, JUU YA HOSPITALI KUU YA MKOA MPYA.
Ukubwa ni 40x 25 mts.
Ni zuri kwa ujenzi wa makazi au nyumba za kupangisha kibiashara.
Mhusika ni mimi tuwasiliane.

4. BABATI MJINI, ENEO KARIBU NA OFISI ZA MKUU WA MKOA, KARIBU NA ALDERSGATE SEC SCHOOL. NJIA YA KUELEKEA
MKOANI.
Ukubwa ni 1.5 eka nusu ekari. Kuna mabanda, ni pazuri kujenga makazi au nyumba za kupangisha
kibiashara.
Mhusika ni mimi tuwasiliane.

Mob +255 755764394 au +255 788714707.

AU NI PM.
 
Back
Top Bottom