Buza ipo karibu na airport gani?
Hahaha!My deduction: binadamu tunategemeana, mwenye nacho anamtegemea asiye nacho ili apate labour. Hivyo tuishi kwa kuheshimiana. Nakumbuka Kuna uzi humu unaeleza asili ya majina ya maeneo, na hilo la Msasani(hali ya chini) lilitokana na wafanyakazi wa kimachinga waliokuwa wameajiriwa na mzungu Michael Chain(Mikocheni-hali bora) kushindwa kutamka jina la mnyampara wao Musa Hassan (Msasani)
Ni kweli na tatizo kubwa wenye hali za chini huwa ni wenyeji na hawataki kuhama wala kuuzaKama umejaaliwa viJisenti ogopa sana kukaa maeneo kama hayo, usalama unakuwa mdogo sana. Unaweza kukabwa getini kwako.
Kinondoni Moscow na upanga tofauti kubwa sana ya hali ya maishaUmesahau mwananyamala na Makumbusho,kinondoni Moscow na upanga.....
Hii ndio style ya maisha tuliyochagua. Tunanunua cha kula leo,kesho tutajua kesho.Dsm watu wengi wana maisha duni sana sana hawana kazi ni ubabaishaji tuu,hawana stock za vyakula hununua wanapotaka kula unga nusu,mafuta ya kula robo,fungu la dagaaa!!! Yani shida tupu !!! Ukikuta wana kunywa hizo supu zao za buku(1000) utacheka
Lakini wanajiona wajanjaaa!!!
Kwa mfano jibu ni ndio au hapana, inakuongezea au kukupunguzia nini?Na hawa wasanii wa bongo movie Wana maisha mazuri kama wanavyo igiza ? Wanaendesha magari mazuri na wanamiliki biashara na nyumba kali?
Jibu kitu kilicho ulizwa ukishindwa kujibu pita kimyaKwa mfano jibu ni ndio au hapana, inakuongezea au kukupunguzia nini?
Ndio nishajibu na sijapita kimya. Kick rocks!Jibu kitu kilicho ulizwa ukishindwa kujibu pita kimya
Haya umeshaonekana unajua kucmnt kitulize upewe tuzo ya khangaNdio nishajibu na sijapita kimya. Kick rocks!
Lakini zaidi ya asilimia 80 ya wakazi wa DSM ni wakuja kama wewe sio wa kuja wazazi wako yaweza kua ni wakuja, hata MO ni wakuja toka SingidaWakuja mna shida sana, watu mmewakuta na maisha yao mnawaona duni eti wahame au kuwauzia nyie! Kwanini nyinyi wa hali ya juu msiende kuanzisha makazi yenu ya watu wa juu?
Hii haibadili kuwa wa kuja wana shida ya kujiona bora.Lakini zaidi ya asilimia 80 ya wakazi wa DSM ni wakuja kama wewe sio wa kuja wazazi wako yaweza kua ni wakuja, hata MO ni wakuja toka Singida