Maeno "will" na "may" hayana maana sawa kisheria. Mwanasheria alipitiwa.

Mwanasheria yyeye alisema maneno hayo yanafanana?

Mbona hilo siyo suala la kisheria?!

Hata kwa kiingereza cha darasa la sita tu tofauti ya maneno "will" na "shall" inafahamika kama ilivyoelezwa kwenye uzi wako!!?
 
Masilahi ya Tanzania hayawezi kufichwa kwenye maneno ya will and Shall
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…