choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Hii ipo Dunia nzima pale ambapo timu imefikia matarajio ambayo hawakuyategemea ghafla.
Monaco ya 2016, iliyokua na Mbappe, Bernado Silva, Fabinho, Falcao, Bakayoko, Benjamin Mendy, Moutinho nk, ilivurugika tu punde baada ya kuchukua League 1 na kufika Nusu Fainali CL, hawakutarajia mafanikio hayo hivyo ikawa ngumu kuwabakiza mastaa wake hasa vilabu vikubwa vilipokuja kupiga hodi.
Bangala, Mayele, nk, uwezo wao umeonekana na vilabu vikubwa vyenye hela kuliko Yanga, lazima vibishe hodi kutaka huduma zao.
Kocha Nabi anajua ingekua ni ngumu sana kuifikisha tena Yanga kwenye peak iliyopo na anajua kuna nyota kadhaa wataondoka hivyo kaamua kulinda heshima yake (ambapo Mzee Claudio Ranieri alichelewa kufanya hivyo Leicester).