GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Harrison Mwakyembe na Soccer wapi na wapi?
Btw, ni matunda ya kocha wao na captain uwanjani.
Mada za kipuuzi nilimwelewa sana Hon. Mkapa huu Uhuru tunaoutaka wa kujadili nani ni nani na kafanya nini ,...,...
Kati ya hawa hamna anayehusika, haya ni matunda na juhudi za ziada za jamal malinzi, ingawa tunamponda ila hapa tumpe hongera zake!Karibuni tu ' mtiririke ' na ' mserereke ' kwani kuna Mtu mmoja hapo juu ( kwa hao Watajwa ) tokea jana baada ya ' Ushindi ' ule wa Serengeti Boys kule Gabon namsikia sasa ' anatamba ' na ' kujifaragua ' kuwa ' mafanikio ' haya ni matunda yake.
Nawasilisha.
Mafanikio ya hii timu ni Kim Poulsen,Malinzi aliingia kwa mbwembwe akamfukuza lakini baadae akamrudisha kuratibu na kupanga program ya vijana lakini sifa kubwa anapewa Bakari Shime.Hiki ndio kitu cha msingi amefanya Malinzi tangu aingie TFFKati ya hawa hamna anayehusika, haya ni matunda na juhudi za ziada za jamal malinzi, ingawa tunamponda ila hapa tumpe hongera zake!
Hukumsikia mwakyembe alivyokuwa anasema Serengeti boys mpk kombe la dunia?Mwakyembe hajashiriki lolote katika kuifanikishia Serngeti Boys. Mipango yote aliacha Nape kabla ya kuondoka.
Yote hayo ni matunda ya Nape, wachezaji pamoja na benchi zima la Ufundi.
Karibuni tu ' mtiririke ' na ' mserereke ' kwani kuna Mtu mmoja hapo juu ( kwa hao Watajwa ) tokea jana baada ya ' Ushindi ' ule wa Serengeti Boys kule Gabon namsikia sasa ' anatamba ' na ' kujifaragua ' kuwa ' mafanikio ' haya ni matunda yake.
Nawasilisha.