Mafanikio kimaisha

Unaona sasa! Afu watu kama hawa ur worries are not their worries! Ukienda kijijini mtu anakutambulisha wanae sita hawana hata kaptula,afu mkewe anatoka huko ndani ana mimba unastuka unaunganishia na kikohozi,lol
 


Mbu uko kwenye msitari maadamu umeshajua pengo liko wapi, fanya assessment ya maisha yako je unadhani hilo pengo linaathiri kwa kiasi gani maisha yako? Kwa sababu inawezekana ukahisi unamiss love kumbe it is not love that you are missing! Define vizuri ni mahusiano gani yatafulfil mafanikio yako na kisha upange mikakati ya kuyapata. Nakumbuka kwenye post yako moja umezungumzia kama ungeweza kumpata mwanamke asie na uwezo wa kuzaa au mwenye watoto wake (I took it kuwa huhitaji kuwa na mtoto mwingine kwa mama huyu mpya- forgive me kama nilikuelewa sivyo) so if this is the case ni bora ukaangalia uwezekano wake.

Lol kuhusu kuniombea talaka, si mpaka akubali kuitoa!!
 

mr rocky,...kwa mtazamo wako huu unamaanisha kutimiza matamanio yetu ndiyo yanayoashiria mafanikio yetu,
na as long as matamanio hayeshi itakuwa ngumu kupima mafanikio au sio?



...gaijin wewe ni mwalimu mzuri sana...
hilo la kuwa too cautious linatuathiri watu wengi nikiwamo mimi mwenyewe...
i wish ningekuwa mwepesi wa ku take risks hah!

kuna haja ya kuitafuta ile hadithi ya 'little frog'

 
...kuna hii inspirational story niliwahi kuisoma miaka ya nyuma, si vibaya nikishare nanyi;

 
Kwani Mbu uliweka kwenye mafanikio yako parameter hiyo? lol

Kama hujaweka si haihusu? au ndio ile unakuwa umejiwekea lakini hujijui :[

...gaijin we acha tu ndugu yangu...wiki hii najihisi kama mfiwa aliyepoteza muelekeo baada ya kuondokewa na mtu wake wa karibu...najiuliza maswali mengi bila majibu...labda kwa thread hii naweza ona 'nyota ya jaha' kwenye kiza kilichonizunguka..!
 


hilo la kuwa too cautious linatuathiri watu wengi nikiwamo mimi mwenyewe...
i wish ningekuwa mwepesi wa ku take risks hah!

kuna haja ya kuitafuta ile hadithi ya 'little frog'


Naamini wengi tunaathirika hapo unless uwe na backup ya kuku-encourage na kuku cheer up hata pale unapokosea au unaposhindwa kufika mafanikio unayoyataka mara moja

Hapa nadhani ndo msingi mzima wa ile kuzungukwa na wanaokupena. Kwa waliokuwa weshakuwa watu wazima labda wanataka partner lakini kwa wale waliokuwa vijana wadogo bado kuna family inaweza kuziba pengo hilo.
 
Reactions: Mbu

..gaijin wewe ni mwalimu mzuri sana...
hilo la kuwa too cautious linatuathiri watu wengi nikiwamo mimi mwenyewe...
i wish ningekuwa mwepesi wa ku take risks hah!

kuna haja ya kuitafuta ile hadithi ya 'little frog'


...kuna hii inspirational story niliwahi kuisoma miaka ya nyuma, si vibaya nikishare nanyi;

[/h]
Mbu sasa hapa naona two way conflicts eh.............the first is the struggle to change your inner mindset and be able to take risk! and the second to be able to turn DEAF to people's whinning!

Dah................leo umenipa mtihani wa maisha rafiki.
 
Reactions: Mbu
Tatizo letu tunakisa flexibility. Aso na hili ana lile, we don't count our blessings! Mapema leo nilipita hosp kumuona kijana wa 27 yrs old mwenye leukemia.I knew the boy 4 yrs ago,he married 2 yrs and got a cute lil boy.he had dreams na mambo ndo kwanza yananyooka.nice job,nyumba inaisha... Bt looks terminal. All he wants is to hold his wife's and son's hands though he can't grip. Dude,life is today.count ur blessings na utagundua mengi ambayo mungu keshakujalia
 

Gaijin kuwa flexible ni sehemu ya kuzingatia unapopanga malengo yako. Njiani kunaups and downs ambazo zinawezaathiri safari yako kufikia huko utakako. Ni vema tukaitambua hili kisha kujiwekea 'nafasi' ya kusit down na kupanga Plan B incase A inafall.
 

MwaJ

Kuna suala jengine ambalo sijui kama watu wengi wana li-experience lakini lipo. Ile watu kuku judge kuwa everything comes easy for you. Kuwa wewe njia yako ya mafanikio nyepesi na wao zao zimejaa miba na vigae.
 

King'asi acha tu yaani ni kweli kabisa wengi tunapopanga malengo tunafikiria kuwa tumempigia simu MUNGU na ametupa guarantee kuwa yatakuwa. Tunapanga, nitasoma, nitaajiriwa, nitaoa/olewa, nitajenga, nitasomesha watoto........yaani maisha yanakuwa smoothly planned utadhani barabara ya lami kumbe hata nazo siku hizi zina matuta!! MUNGU atusaidie kwa kweli.
 
Mhhh sijawahi kufikiria "material things" labda, lakini naamini nikiwa "happy" basi maana yake nimefanikiwa kimaisha.

Kwa hiyo kipimo changu cha mafanikio kipo kwenye "furaha" yangu zaidi.


Umesema kipimo chako cha mafanikio kipo kwenye furaha yako zaidi na umeorodhesha mambo au vitu viwili ambavyo hukupa furaha.

Kwa kuangalia hayo mambo ambayo hukupa furaha, je, sasa hivi wewe ni mtu mwenye furaha?
 
Reactions: Mbu

Lakini Mungu hajakataza kujipangia.

Kuna maandiko ya Kiislam ambayo yanasema "Ishi duniani kama utaishi milele, na fanya ibada kama leo ni siku yako ya mwisho"

Kwa hiyo mipango mingi ni ruhsa :]
 
MwaJ

Kuna suala jengine ambalo sijui kama watu wengi wana li-experience lakini lipo. Ile watu kuku judge kuwa everything comes easy for you. Kuwa wewe njia yako ya mafanikio nyepesi na wao zao zimejaa miba na vigae.
Gaijin usinikumbushe, mwe nina wifi yangu yaani yeye kila siku analia shida (simsemi vibaya) but jinsi anavyolalamika ni kama vile wewe ndie umeshikilia njia zote za mafanikio. Mpaka huwa namwambia usilalamike sana wifi saa nyingine maneno na malalamishi yanaumba, utakuwa mtu wa shida wewe kila uchao.

Yaani acha tu. Hii thread Mbu kuna analontafuta kusema ukweli si bure!
 


...dahhh, mwj1 hilo la kuwa na plans A, B, hata C linaweza ku apply kwa vitu vyote?...nitaku challenge ukose majibu,..lol..

...king'asti nimekusoma, umetoa ushuhuda mzuri sana, infact...wakati wachangiaji wa awali wameandika
posts zao, kidogo nilijumuishe na hili la kuwa na afya njema ni la msingi kuliko yote! bila afya njema wandugu
kila kitu ni bure...!
 
Umesema kipimo chako cha mafanikio kwenye furaha yako zaidi na umeorodhesha mambo au vitu viwili ambavyo hukupa furaha.

Kwa kuangalia hayo mambo ambayo hukupa furaha, je, sasa hivi wewe ni mtu mwenye furaha?

Yes Sir I am ...:]
 
Lakini Mungu hajakataza kujipangia.

Kuna maandiko ya Kiislam ambayo yanasema "Ishi duniani kama utaishi milele, na fanya ibada kama leo ni siku yako ya mwisho"

Kwa hiyo mipango mingi ni ruhsa :]

Nakubali kabisa Gaijin nilikuwa naweka msisitizo kwenye post ya King'asti ya sisi kusahau kukubali kuwa flexible. Utakuta mtu maengo yake yamekatishwa na lets say ugonjwa, ajali n.k basi kila kitu kinakufa na anageuka omba omba. Huwa ninaangalia sana kipindi cha Miracles.....wenzetu wenye ufahamu huwa ni rahic kusimama tena after falling but sio wengi wetu!.
 
Reactions: Mbu

...dahhh, haya tena mwanajamiione hapa unatupiga madongo ambao pamoja na kukumbuka kuomba dua wakati wa shida, tunaipita misikiti na makanisa "kama vituo vya polisi"...
 
Hah usiogope kukosa kwangu majibu Mbu ni sehemu yangu ya kujifunza ujue. Yes nadhani inaapply kwka sehemu zote ingawa si kawaida yetu kuplan.

Nakubaliana nawe kwenye ishu ya Afya njema.
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…