Mafanikio na Imani

liambokolia

New Member
Joined
Jul 25, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Kuna ukweli wowote kwamba ili mtu afanikiwe ni lazima awe amebobea vizuri kwenye imani fulani(upande wa waganga na wachawi au upande wa Mungu(?
 
Ni lazima abobee katika ulimwengu wa roho , mali ya dunia ni ya shetani, kumbuka Yesu alipopandishwa mlimani na shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…