Mambo Sipo! Sijakusikia muda sasa. Hapo nilipokoleza waswahili wanaweza kutafakari vinginevyo! Si unajua tungo tata ili kupunguza ukali wa maneno? Kwangu 09, ilikuwa mswano tu, labda NGULI ndiye alikuwa hakosi kwenye vikao!!!hata kama umepigwa chini wewe sema tu ni sehemu ya anguko
Mambo Sipo! Sijakusikia muda sasa. Hapo nilipokoleza waswahili wanaweza kutafakari vinginevyo! Si unajua tungo tata ili kupunguza ukali wa maneno? Kwangu 09, ilikuwa mswano tu, labda NGULI ndiye alikuwa hakosi kwenye vikao!!!
Mkuu Kyachakiche nipo mkubwa mihangaiko tu. Hongera sana Mpwa kama wewe ghadhabu ya mapenzi haijakukumba mwaka huu. Kuna watu hawajitokezi hapa, sasa nashindwa kuelewa kwao mahusiano mwaka huu yalikuwaje. Pia nashukuru kwa kunisahihisha, i noted it with thanks SirMambo Sipo! Sijakusikia muda sasa. Hapo nilipokoleza waswahili wanaweza kutafakari vinginevyo! Si unajua tungo tata ili kupunguza ukali wa maneno? Kwangu 09, ilikuwa mswano tu, labda NGULI ndiye alikuwa hakosi kwenye vikao!!!
Mkuu si ulikuwa unawekeza? Uliyempa kilo wewe atakupa kilo mbili mwakani, au vipi? Tatizo ni kwetu tuliokuwa tunachangiwa crate moja ya safari au plisner sasa tunarudisha kilo!!Huu mwaka Mungu kanikaramia mema mengi sana,japo kushiriki kwenye maharusi ya watu kumenirudisha nyuma kimaendeleo ila naamini hizo ndoa zilizo toboa mifuko yangu zitadumu milele/till death assume its place.
Mpwa hongera sana kwanza kwa kumshukuru MUNGU alikuwezesha kwa mengi. Hayo mengine ya michango mimi napenda kuyaita crossing issues kwenye maisha. Hongera NguliHuu mwaka Mungu kanikaramia mema mengi sana,japo kushiriki kwenye maharusi ya watu kumenirudisha nyuma kimaendeleo ila naamini hizo ndoa zilizo toboa mifuko yangu zitadumu milele/till death assume its place.
Mpwa KyaMkuu si ulikuwa unawekeza? Uliyempa kilo wewe atakupa kilo mbili mwakani, au vipi? Tatizo ni kwetu tuliokuwa tunachangiwa crate moja ya safari au plisner sasa tunarudisha kilo!!
Mpwa Kya
huyu jamaa yetu Nguli kashaoa sasa uko kuwekeza sijui kwaajili ya wanaze au nduguze? Manaze kama ni kwasababu ya wanae basi ipo kazi.
Umenichekesha sana hapo nilipohighlight Mkuu
hata kama umepigwa chini wewe sema tu ni sehemu ya anguko
Mi namshukuru Mungu kwa kutunukiwa Penzi!
hongera
ya nini?Hahaha! Pole!
ya nini?
hahaaaaa creze you!!!Kumbe hongera ilikuwa ya nini?
Pole sana mgeni kwa kuachika mara mbili ndani ya mwaka mmoja. Unaweza kutupa story ya kuachika kwako japo moja ili wadau wakupe ushauri mwanana yasikupate tena mwaka 2010.Mwenzenu 2009 imekuwa mbaya sana kwangu,nimeachika mara mbili na kosa ckuwahi kuambiwa