Mafanikio wizara ya fedha 2005-08 via ccm!!

Mafanikio wizara ya fedha 2005-08 via ccm!!

SpK

Member
Joined
Jun 14, 2008
Posts
40
Reaction score
5
Duh! Hi nayo ni tamu haswaaa kwa wenzangu na mimi ambao tuliumaliza mwaka 2008 tukiwa very busy na tukauanza mwaka mpya 2009 tukiwa somehow tume-delay kidogo kiasi cha kushindwa kwenda sambamba na yaliyojiri katika mizani!

Pata hiyo attachment kwa wale ambao hawakuisoma na wale ambao walikuwa very busy. Its upon you to see the reality beyond the horizon of reality itself!

Pls go on and big up to JamiiF kwa kutuunganisha pa1.

Best rgds,

SpK
 

Attachments

Back
Top Bottom