Mafanikio ya Diamond kwenye YouTube mpaka sasa

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689


Unaweza piga mahesabu yako mwenyewe jamaa ameingiza kiasi gani cha pesa kwenye youtube pekee mpaka sasa.
 
Diamond anaijua biashara bhana kule YouTube hajaweka official videos za nyimbo tu but tours, live performance, interviews na behind the scenes za videos zake. Na hizi zinagonga hadi 319k viewers. Hua napenda kwenda kucheck live performance zake aseeee
 
Kama kila view ikianzia walau sh mia ya kibongo dogo atakuwa na utajiri wa kutisha ndio maana ata fiesta anatia jeuri.
 
Nasikia huwa $1 kwa kila view 1000. Hapo atakuwa na dola 30,000 ambayo inaleta kama milioni 67 za kibongo. Ila huku Africa wanaweza kuwa wanalipwa chini ya hapo.
 
Robotic viewers hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…